TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, August 31, 2012

SUMA LEE, LINEX NA BABA LEVO WAPATA AJALI MBAYA SANA

 Tukio baya sana la ajali limewatokea wasaniiwetu wakati wako njiani kuelekea mkoani kigoma kwenye show, Kwa mujibu wa suma lee ambaye ndio alikuwa dereva katika gari hiyo alisema katika hali ya ghafla lilitokea gari mbele yake kwenye kona kubwa sana ambalo lilikuwa limezidi sana upande wake hivyo akataka kujaribu kulikwepa hapo ndipo gari lao likaingia msituni. Katika kutaka kulirudisha njia yakawaida hapo ndipo gari likapinduka na kubingirikabingirika zaidi ya mara tatu, Kwa bahati nzuri au mbaya hakuumia mtu. Ajali hiyo imetokea katika wilaya ya kibondo karibu kabisa na mji wa kisumu mkoani kigoma ambapo walikuwa wanakwenda huko kwa ajili ya show ambayo ilikuwa ifanyike siku ya jumamosi.Gari walilokuwa wanatumia ndio limearibika sana.
 Hapa mkuu wa wilaya ya kibonde akiwakabitdhi trecta suma lee, linex na baba levo kama usafiri ambao ungewawezesha kufanya safari zao kwa siku hiyo. pamoja na ulinzi ambao unauona kwenye picha hapo juu.
 Linex,suma lee na baba levo baada ya ajali wakiwa hotelin kisumu kigoma
Alichokiandika baba levo katika ukurasa wake wa facebook baada ya ajali ni hiki hapa........


NIMEAMINI MTU KUFA NI DAKIKA CHACHE SANA. kutokana na ajalituliyoipata jana niliona kama kifo kipo kwenye uso wangu. DEREVA ALIKUWA SUMA LEE linex alikaa kiti cha mbele mimi nilikaa kwa nyuma. gari LILIGONGA upandenilikuwa nimekaa mimi. KWAKWELI MUNGU ASHUKULIWE SANA coz sikupata hata mchubuko......
XDEEJAYZ INAWAPA POLE SANA KWA AJALI ILIYOWAKUTA YOTE NI MIPANGP YA MUNGU.

Thursday, August 30, 2012

MISS ILALA TALENT SHOW NI LEO NYUMBANI LOUNGE

 Lile shindano lakukata na shoka la miss ilala talent show linafanyika leo pale nyumbani lounge, kiingilio ni buku 10 tu, Upata nafasi yakumjua mshindi wa talent kabla yakufika siku ya kuona miss ilala yenyewe ambayo itatoa mshindi wa taji ilo. Xdeejayz ikiongea na mmoja wa washiriki wa miss ilala alisema shindano hili ni la talent tu lakini mashindano yenyewe yanakuja hivyo tunawakaribisha sana kuja kuona vipaji mbalimbali pale leo pia kutakuwa na burudani kali na suprise za hatari kutoka kwa lAdy jaydee na gadna karibu sana.
 Warembo wa miss ilala wakiwa na lady jaydee hapo kuna watakaoimba,watakaocheza,anaewinda,kuna madisigner,watangazaji,kuna wanaojinyoosha,na mengi mengineyo yanayohusu vipaji na msanii wa bongo fleva shelta atapiga show live leo.sio pakukosaaaa
Redds miss ilala na bint komando ladyjaydee

MKE WA SHELTA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Mke wa shelta mama kyla akiwa na prod pancho

Kwa lugha za uswahili kwetu mtoto wa kike tunamwitaga kigodoro, kwa mana ya kwamba shelta amepata mtoto wa kike na amempa jina la kyla jana saa kumi na 11 jioni katika hospital ya st monica, shelta anasema amefurahi sana kupata mtoto wa kike japokuwa yeye alitegemea sana kupata mtoto wa kiume.lakini yote kheri amempokea kwa mikono miwili kyla katika familia yake yenye aman na upendo,
 Shelta akiwa na jux
Kushoto baba steve barnaba, katikati baba kyla shelta na kulia baba heri mr blue.

PICHA 17 ZA MUONEKANO MPYA WA PENNIEL MNGAZIJA

                                              Najua unamjua moja kati ya kina dada wenye swaga zakuzaliwa nazo nawala si zakucopy kutokana na mazingira wanayoishi huyu hapa beautiful onyinye,the first lady, wa E master,aliekuwa host wa kipindi kilichowahi kuwa gumzo la jiji cha XTREME LIVE kilichokuwa kinarushwa CHANEL 10 na sasa anakuja na kipindi kinachoitwa ZE 10,katika luninga yako ya DTV.  Huu hapa muonekano wake mpya kabisa katika kichwa chake mtindo huu kaupa jina anauita NGAZIJA STYLE. Unajua kasuka wapi? bei gani? katumia jumla kiasi gani kusuka mtindo huu uliompendeza kweli kweli.Usikose kuangaliaa kipindi cha ZE TEN kinakuja soon dtv.
Hapa akiwa nyumbani kwake
Najua unataman kujua kwenye pochi lake kuna nini?

 heleni zake ni za diamond

 uwa anapenda sana kunywa maji mengi siunaona kilimanjaro pembeni yake
 swaga is on
 pozi tu sina tatizo na mtu
 kiss kwa mbaliiii!!!
 hapa anachat bbm
 hapa akiwaza
 weweeeee
 ofice za emasters
 pozi mbalimbali akiwa kazini
 hapa akiwa oficen
picha tofauti zinazoonyesha mtindo wa ngazija style