TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, August 30, 2012

MISS ILALA TALENT SHOW NI LEO NYUMBANI LOUNGE

 Lile shindano lakukata na shoka la miss ilala talent show linafanyika leo pale nyumbani lounge, kiingilio ni buku 10 tu, Upata nafasi yakumjua mshindi wa talent kabla yakufika siku ya kuona miss ilala yenyewe ambayo itatoa mshindi wa taji ilo. Xdeejayz ikiongea na mmoja wa washiriki wa miss ilala alisema shindano hili ni la talent tu lakini mashindano yenyewe yanakuja hivyo tunawakaribisha sana kuja kuona vipaji mbalimbali pale leo pia kutakuwa na burudani kali na suprise za hatari kutoka kwa lAdy jaydee na gadna karibu sana.
 Warembo wa miss ilala wakiwa na lady jaydee hapo kuna watakaoimba,watakaocheza,anaewinda,kuna madisigner,watangazaji,kuna wanaojinyoosha,na mengi mengineyo yanayohusu vipaji na msanii wa bongo fleva shelta atapiga show live leo.sio pakukosaaaa
Redds miss ilala na bint komando ladyjaydee

No comments:

Post a Comment