| DJ Rommy Jones akiwasili kwenye uwanja  mkuu wa Taifa Dar es Salaam  | 
| Nikipokelewa na Mwakilishi wa Global Publishers  wahusika na waandaji wa Tamasha ili..  | 
| V.I.P nikiwa na mazungumzo machache na Mkurugenzi  mtendaji wa Global Publishers Erick Shigongo...  | 
| MY CREW,MY ACCESS WITH WASAFI STAGE MANAGER QBOY MSAFII... | 
| Nikichonga jambo na ndugu yangu nikisubiria kufanya yale yaliyotuleta... | 
| Mwana F.A akishow Love na Msanii toka Kenya Prezzo akiwa anaelekea jukwanii...  | 
| Prezzo akipunga kofia kwa hewa kuwasalimu  watanzania waliofurika uwanjani hapo...  | 
| Prezzo akifanya yake uwanjani...!! | 
| Prezzo akiwa amevalia tshirt yenye bendera mbili,Kenya & Tanzania hii akimanisha ana damu mbili.... Kama ujui ngoja nikujuze.......Mama mzazi wa Prezzo ni Mtanzania kabisa toka mwanza...  | 
| Mose Iyobo & Dumi Utamu... | 
| On set wasafi wakijianda kwenda jukwanii.... | 
| Afe kipa.....Afe beki lakini ushindi lazima.... | 
| Ajajajaja hatari sana Roboti kwa hewa.... | 
| Mzee mzima mwenyewe nikawasili sasa kuna ule  msemo usemao nyumbani ni nyumbani... Twende sasa ni kikwetu kwetu tu  | 
| Shuguli ikamia chini sasa.... | 
| Nikuakikisha kila mmoja anaweza niona ni mpera mpera tu... | 
| Hapo je......??? Tuimbe wote sasa.. | 
| Noma kweli......viuno mbele mbele...!! | 
| Shuguli ikarudi jukwani sasa kila mtu aone kile wasafi  nini tunafanya....ni kujipanga tu kila idara thanks kwa Twins Fashion kuhakikisha tunang'a tukiwa stejini...  | 
| Ni huku na kule patashika ya wasafi... | 
| Yanii....mizuka imepanda mule mule yanii.... | 
| In Nay wa Mitego voice ''anha nyie watoto mchele mchele...kwenye show viuno mbele mbele...''  | 
| Nimemaliiiizaaaaaaa...!! | 
| Interview baada ya show..... | 
| Choka sana mtu wangu...asikwambie mtu ile  shugulli pale yataka mazoezi na mapenzi toka moyoni bila kujali mazingira kuhakikisha unakizi mahitaji ya mashabiki zako  | 
| Wasafi dancers & I n My Blood cuzin Rommy Jones. | 
| Hapo sasa kujitia kujua ngumi mwisho wa siku nkapelekewa jebu na Dancer wangu....usiguse moto huu kabisa....  | 
| Hapana chezea...sio muziki tu hata kwenye masumbwi nimo.... | 
No comments:
Post a Comment