TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, August 31, 2012

SUMA LEE, LINEX NA BABA LEVO WAPATA AJALI MBAYA SANA

 Tukio baya sana la ajali limewatokea wasaniiwetu wakati wako njiani kuelekea mkoani kigoma kwenye show, Kwa mujibu wa suma lee ambaye ndio alikuwa dereva katika gari hiyo alisema katika hali ya ghafla lilitokea gari mbele yake kwenye kona kubwa sana ambalo lilikuwa limezidi sana upande wake hivyo akataka kujaribu kulikwepa hapo ndipo gari lao likaingia msituni. Katika kutaka kulirudisha njia yakawaida hapo ndipo gari likapinduka na kubingirikabingirika zaidi ya mara tatu, Kwa bahati nzuri au mbaya hakuumia mtu. Ajali hiyo imetokea katika wilaya ya kibondo karibu kabisa na mji wa kisumu mkoani kigoma ambapo walikuwa wanakwenda huko kwa ajili ya show ambayo ilikuwa ifanyike siku ya jumamosi.Gari walilokuwa wanatumia ndio limearibika sana.
 Hapa mkuu wa wilaya ya kibonde akiwakabitdhi trecta suma lee, linex na baba levo kama usafiri ambao ungewawezesha kufanya safari zao kwa siku hiyo. pamoja na ulinzi ambao unauona kwenye picha hapo juu.
 Linex,suma lee na baba levo baada ya ajali wakiwa hotelin kisumu kigoma
Alichokiandika baba levo katika ukurasa wake wa facebook baada ya ajali ni hiki hapa........


NIMEAMINI MTU KUFA NI DAKIKA CHACHE SANA. kutokana na ajalituliyoipata jana niliona kama kifo kipo kwenye uso wangu. DEREVA ALIKUWA SUMA LEE linex alikaa kiti cha mbele mimi nilikaa kwa nyuma. gari LILIGONGA upandenilikuwa nimekaa mimi. KWAKWELI MUNGU ASHUKULIWE SANA coz sikupata hata mchubuko......
XDEEJAYZ INAWAPA POLE SANA KWA AJALI ILIYOWAKUTA YOTE NI MIPANGP YA MUNGU.

No comments:

Post a Comment