TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, June 30, 2014

HAKUNA STAA AMBAE HAJAWAHI KUKANYAGA KWA DOKTA KAMDEGE- JINI KABULA ASEMA..!

staa wa filamu za kibongo nchini Miliamu Jorwa Jini Kabula amesema ameibuka na kusema haamini kama kuna staa yeyote nchini ambae amefanikiwa kimaisha bila kupitia kwa Dokta Kamdege kupta baraka zake.

Akiongea na gazeti hili Miliamu Jorwa alisema kuwa" Mganga wa mstaa nchini amewasaidia nikiwemo mimi mwenyewe na kama kuna mtu akisema hajawahi kukanyaga kwake huyo muongo na mnafiki kabisa" Aliasema Jini Kabura

Aidha msanii huyo anasema mganga huyo anaetibu kupitia miti shamba alimsaidia sana wakati anaanza kupata jina kwani kulikuwa na ushindani mkubwa sana wa kupata majina na mafanikio bila nguvu zake za ziada basi hali ingekuwa mbaya hadi leo.

Mganga huyo ambae anatibu maelfu ya watu kutumia miti shamba huku akiwawezesha wengi kuwa na mafanikio kupitia sanaa, kazi, biashara nk na tayari hata raia toka nchi za nje wamekuwa wakitua nchini na kumfuata huko aliko.

Hata hivyo kwa sasa mganga huyo yupo Jijini Dar na watu wafanyabishara wengi wamekuwa wakimiminika Kiwalani alikofikia kwa ajili kuwasawazishiwa mambo yao na ameendelea kutoa uwito kwa wakazi wa Jiji la Dar kuendelea kufika kwake kwani hana siku nyingi ataondoka kuelekea Uturuki alikoitwa na Serikali ya huko.

Mganga huyo anatibu magonjwa mengi tu pamoja kumsafisha mtu kupanda cheo, kuolewa, kufanikiwa kibiashara na mambo mengine na anatibu kutumia miti shamba na hata kama uko nje ya nchi atakusaidia ukiwa huko huko na ametaja namba yake ya simu kwa watakaopenda kumtafuta 0788-844490 na moja kwa moja ataongea nae.

VUNJA JUNGU YA MAGANGA, SCANIA LENYE MCHANGA LADONDOKEA GUEST HOUSE NA KUUA, WATEJA WENGINIE WAKIMBIA OVYO NA VICHUPI MIKONONI ANGALIA TUKI ZIMA HAPA..!




Wananchi wakishangaa ajali ya Scania iliyidondokea nyumba ya kulala wageni na kuua mfanyakazi huku wateja wengine wakitimua mbia kuhofia usalama wao..




Source: Xdeejayz Tanzania

BABA ALIYEDAIWA KUMBAKA MWANAE NA KUMUHARIBU VIBAYA ATIWA MBARONI AKAMATWA USIKU WA MANANE ALIKUWA ANAJITAYARISHA KUKIMBIA SO, WANANCHI WAIPIONGEZA 93.7 E-FM KWA KUIBUA UKATILI HUU ANGALIA TUKI ZIMA HAPA...!

 Huyu ndiyye manafunzi jina linahifadhiwa ambae amebakwa na babaake mzazi na kumuharibu vibaya.
 Mwanafunzi huyo akiwa nje ya kituo chya Polisi Hananasifu Moscow Kinondoni Jijini Dar..


 Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi jana asubuhi akitolewa kitu kidogo cha Polisi Kinondoni Moscow na kupelekwa kituo kikibwa cha Magomeni Usalama tayari kwa hatua za kisheria..


 Mtuhumiwa ambae ndiye baba mzazi wa mwanafunzi aliyebakwa muda mfupi baada ya kutiwa nguvuni na Jeshi ls Polisi Kanda ya Kinondoni mtuhumiwa huyo anaitwa Salum Kindamba.



 Hapa Salum Kindamba akiwapigia simu ndugu zake dakika chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kumbaka mwanae mwenye umri wa miaka 14 tu.
Na Livingstone Mkoi wa E-Fm Radio
Kufuatia kituo chako bora cha matangazo na habari nchini cha 93.7 E-fm radio siku ya Ijumaa wiki iliyopita kuripo tukio la kusikitisha la mwanafunzi kudaiwa kubakwa na babaake mzazi, hatimae Jeshi la Polisi Kanda ya Kinondoni limemkamata mzazi huo na kumsweka ndani.
Habari za uhakika zilizothibitishwa na E-fm zilieleza kuwa mtuhumiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Salum Kindamba alikamatwa siku ya Ijumaa saa 5: 45 za usiku maeneo ya nyumbani kwake Kinodoni Moscow.
Hata hivyo habari zaidi juu ya tukio hili lililoripotiwa kituo cha Poliswi Magomeni na kupewa jarada namba MAG/RB/ 6267/14 KUBAKA na  sikiliza kituo chako cha 93.7 E-Fm Radio siku ya leo ili kujua mengi.
Source: 93-7 e-fm Radio

Thursday, June 26, 2014

HATIMAE KOCHA MPYA WA YOUNG AFRICANS ATUA JIJINI DAR


Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.


Kocha Marcio Maximo ametua jijini Dar muda mfupi uliopita kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa kuanza kuifundisha timu ya Yanga. Maximo amepokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na mashabiki wa Yanga. Aidha kocha huyo amesaini mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa miaka miwili
JUMLA ya shilingi milioni 371 zimetumika kuhakikisha kocha huyo ametua Jangwani.
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ndiye aliebeba jukumu hilo la kumwaga mamilioni hayo ya fedha ili kumpata Maximo, kocha wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars.Mbrazili huyo aliwahi kuifundisha timu ya taifa, Taifa Stars kabla ya nafasi hiyo kutua kwa Mholanzi, Jan Poulsen aliyeondolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, kamati ya utendaji ya timu hiyo ilikutana hivi karibuni na kujadiliana masuala mbalimbali ikiwemo la usajili na suala la kocha.Chanzo hicho kilisema, katika kikao hicho, viongozi hao wamempendekeza Maximo kuja kukinoa kikosi hicho kwenye msimu ujao wa 2014-2015. Jambo ambalo wamelitekeleza leo kwa kocha huyo kuwasili nchini.

Kilisema kuwa, kocha huyo amekubali kuja kuifundisha Yanga kwa mshahara wa dola 16,000 (sawa na shilingi milioni 25) kwa mwezi, hivyo kwa mwaka mmoja timu hiyo itamlipa Mbrazili huyo shilingi milioni 307).
Kiliongeza kuwa, pia kocha huyo anataka fedha ya uhamisho dola 40,000 (sawa na shilingi milioni 64), hivyo jumla ya fedha watakazotumia Yanga ni shilingi 371.
“Fedha hizo ndizo tumefikia hapo, lakini bado kuna majadiliano kuhusiana na kupunguza kiwango cha mshahara na fedha za kusaini. Halafu litakuwa ni suala la Maximo atakuja lini nchini,” kilieleza chanzo.

Pamoja na juhudi hizo za Manji kumleta Maximo, kumeibuka mkanganyiko kuhusiana na kipa wa Yanga, Juma Kaseja ambaye alikuwa hana uelewano mzuri ma Maximo.

Wakati akiwa Stars, Maximo aliapa kutomuita Kaseja katika kikosi chake licha ya kwamba alikuwa ndiye kipa bora nchini na namba moja katika kikosi cha Simba.
Maximo alidiriki kumuita Ally Mustapha ‘Barthez’ ambaye hakuwa amedaka hata mechi moja Simba, hali iliyozua mkanganyiko na kamwe hakuwahi kusema tatizo lake na Kaseja ni lipi.“Kweli kuna mpango wa kuanza ufumbuzi kuhusiana na suala la Kaseja. Wote wanahitajika Yanga, hivyo kutakuwa na mjadala kuhusu hilo na lengo ni kuona wanafanya kazi pamoja,” kilieleza chanzo.
“Tutamtaarifu Maximo na kumueleza hali halisi, tunaamini hakutakuwa na tatizo.”


Manji aliwaeleza jana wanachama wa Yanga kwamba kamati ya utendaji imefikia uamuzi wa kumleta kocha huyo ingawa dalili zilionesha kuwa jambo hilo lina uhakika wa asilimia 90.
“Juzi usiku tulikutana kamati ya utendaji kufikia muafaka wa kumleta Maximo, hivyo kila kitu kinakwenda sawa, vipo baadhi ya vitu tunavikamilisha,” alisema Manji wakati akizungumza na wanachama.

BALAA KUBWA WAREMBO MISS TEMEKE WAVAMIA STUDIO ZA E-FM RADIO WAONESHA MAAJABU MAKUBWA TIZAMA ISHU ILIVYOKUWA...!

 Meneja wa vipindi wa E-FM RADIO Dickson Mponera " PAPA DIZO" akiwakaribisha warembo hao mara baada ya kutua ndani ya ofisi za radio hiyo namba moja Tanzania

 Mmoja wa viongozi wa radio hiyo Sos B akisalimiana na mratibu wa shindano la Warembo hao Tom Chilala ambae pia ni mtangazaji wa kituo cha tv cha Star Tv.
 Warembo hao pia walipata nafasi ya kuingia chumba cha On Air na hapa wakimuangalia mtangazaji wa kituo hicho Safia Aman
 Meneja akitoa maelekezo namna sifa za mtangazaji anavyotakiwa ili kuwavutia wasikilizaji




 Sos akiwalekeza kitu warembo hao ambao hawapo pichana ndani ya studi hizo leo huku pembeni yake mitambo ya kisasa ya kurushia matangazo ikionekana.




Warembo wote wanatarajia kushiriki kinyang'anyiro cha kumska mrembo wa kitongoji cha Temeke wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani chumba cha mikutano kilichopo ndani ya radio hiyo
Hapa warembo hao wakiwasiri ndani ya ofisi za E-FM zilizopo Kawe Jijini Dar juu kabisa kwenye Jengo la K-net House.
Hata hivyo warembo waliweka wazi jinsi gari wanavyokunwa na radio hiyo na wako baadhi wenye vipaji walionesha nia ya kutaka ajira za utangazaji mara baada ya kumalizikia kwa shindano hilo linalotarajia kufanyika Ijumaa tarehe 27/6/2014.
Wakiwa ndani ya studio hizo walijifunza vitu vingi sana pamoja na kujionea mitambo ya kisasa ya kurushia matangazo ambayo haipatikani radio yoyote nchini Tanzania.
PICHA NA LIVINGSTONE MKOI

PICHA YA KWANZA KUTOKA KWENYE VIDEO YA MDOGOMDOGO YA DIAMOND.

mdogoHii ni picha ya kwanza kutoka kwenye video ya mdogomdogo ya Diamond..unapata picha gani juu ya hii video? Nipe comment zako hapo chini.

Wednesday, June 25, 2014

USHAHIDI WA SUAREZ KUMTAFUNA BEGA MCHEZAJI WA ITALIA HUU HAPA, PIA JUA MATOKEA YA MECHI YA ENGLAND VS COSTA RICA..!



20140625-075306-28386633.jpg
Kwa mara nyingine katika kipindi cha maisha yake ya soka, Luis Suarez ameingia tena kwenye headlines kwa kumng’ata mchezaji mwenzie uwanjani.
Kwenye mchezo wa mwisho wa makundi kati ya Uruguay vs Italy, zikiwa zimebakia dakika 9 mchezo kuisha ulitokea utata mkubwa wakati Suarez na Chiellini walipokumbana katika maeneo ya penalti
20140625-081301-29581417.jpg
Beki huyo wa Italia alilalamika wakati kwa refa kwamba alikuwa ameng’atwa na akajaribu kumwonyesha alama.
Wakati wachezaji wa Italia walipokuwa wakiendelea kulalamika, Uruguay wakapata kona.
Suarez alipiga pasi nzuri naye Godin akafunga bao hilo la ushindi.
Mpaka unamalizika Uruguay walikuwa washindi, na kuungana na Costa Rica kwenda hatua ya 16 ya michuano hiyo.
Wakati huo huo Italy iliungana na England iliyomaliza mechi zake za makundi kwa kutoka sare ya 0-0 na costa Rica – kufungasha virago kurudi nyumbani zikishindwa kufuzu kwenda hatua ya pili.
Uruguay sasa itacheza na Colombia wakati Costa Rica ikikutana na Ugiriki kwenye hatua ya 16 bora.

UAMUZI WA KOCHA WA ITALIA BAADA YA TIMU YAKE KUSAMBARATISHWA NJE YA KOMBE LA DUNIA NI HUU HAPA..!



Muda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.
Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.
Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.
“Nilichagua mfumo fulani wa ukufunzi na ndio sababu ninajiuzulu, kwa sababu haukufanya kazi,” alisema.
Aliongezea: “Kuna jambo ambalo limebadilika tangu nilipotia saini mkataba mpya. Sijui kwanini lakini sina haja ya kutafuta sababu .”
Kocha huyo aliingia mkataba mpya na Italy Mei mwaka huu ambao ungemfanya aendelee kuifundisha Italy hadi baada ya mashindano ya kuwania ubingwa wa Euro ya mwaka wa 2016.
Prandeli amechukua hatua hii baada ya kujiuzulu kwaa rais wa shirikisho la kandanda la Italia Giancarlo Abete.
“Nilizungumza na rais wa shirikisho na naibu wa rais Demetrio Albertini na nikawapa barua ya kujiuzulu kwangu. Ni jambo lisilobadilika,”

MWANAFUNZI WA CHUO DODOMA ALIYEPIGA PICHA CHAFU ASEMA MBONA WEMA SEPETU NAE AMEPIGA PICHA UCHI WATU HAWASEMA SANA


Loveness Kaaya mwanafunzi wa chuo kimoja Mkoani Dodoma.
Mwanafunzi wa chuo mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina la Lovess Kaaya ambae anasoma chuo kimoja maarufu mkoani hume ameibuka na kusema picha yake  aliyovuja kwenye mtandao kwa bahati mbaya anashangaa wa2 wanatoa macho na kusema mengi wakati Wema Sepetu nae aliwahi kupiga picha za aina kama yake lakini watu hawakusema kivile....!
CREDIT XDEEJAYZ TANZANIA

Tuesday, June 24, 2014

HUYU NDIYE BI HARUSI ANAETARAJIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUOLEWA NA MKRISTO NA KUUKANA UISLAM INASIKITISHA SANA ANGALIA HABARI HII..!


Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuasi dini
Add caption

  • Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ameachiliwa huru.
Wakili wake ameambia BBC kuwa mwanamke huyo aliyekiuka dini kwa kwa kuolewa na mwanamume mkristo aliachiliwa huru Jumatatu
Hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya Meriam Ibrahim,ilibatilishwa na mahakama ya rufaa, kwa mujibu wa shirika la habari la Sudan Suna.
 
Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuasi dini

Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuasi dini
Meriam ameolewa na mwanamume mkristo na alihukumiwa kifo na mahakama ya kiisilamu kwa kosa la kuasi dini, baada ya kukataa kukana kuwa yeye ni mkristo.
  Hukumu dhidi yake ilichochea viongozi wa kimataifa walioilaani wakisema inakiuka haki za binadamu.

JE UNAHITAJI KUSIKIA HABARI NJEMA KUHUSU MWANAFUNZI HUYU WA CBE DODOMA?

MOSESE OBUNDE NI MWANAFUNZI WA CHUO CHA BIASHARA CBE DODOMA, NI MMOJA KATI YA WANAFUNZI WENYE KIPAJI CHA KUIGIZA CHA HALI YA JUU,

AMBAPO HIVI KARIBUNI BAADA YA KUKUTANA NA MR OBUNDE NA KUFAHAMU KUHUSU KIPAJI CHAKE ALINIELEZEA MAMBO MENGI SANA AMBAYO NA UHAKIKA ANA UWEZO WA KUFIKA MBALI KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI:

HIVI KARIBUNI NITAKUPATIA HABARI NJEMA KUHUSU MOSES OBUNDE MWANAFUNZI HUYU WA CBE AMBAYE NAWEZA KUSEMA NI KATI YA WANAFUNZI WA CBE MWENYE BAHATI TENA SANA, STAY TUNER HAPA HAPA UTAFAHAMU A-Z KUHUSU GOOD NEWS

BALAA JIPYA, STAA WA BONGO MOVIE APIGA ZA AIBU NA KUZIRUSHA KWENYE MITANDAO USHAHIDI HUU HAPA ANGALIA MWENYEWE. XDEEJAYZ IMENASA LIVE..!

Picha hii ni staa mkubwa wa bongo movie ambae Xdeejayz inaendelea kumsaka usiku na mchana kwa ajili ya kupa kauri yake kwa nini amefanya udhalilishaji huu tena wa makusudi kisha tutamuanika hewani kwa lengo moja  la  kukemea tabia kama hizi ambazo hazifai kwa maadili yetu ya kitanzania. 
CREDIT. XDEEJAYZ TANZANIA

Video ya mashairi ya Prokoto @Victoria_Kimani ft. Diamond na Ommy Dimpoz

Screen Shot 2014-06-24 at 8.43.28 AM
Ni single ya mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambayo kawashirikisha mastaa wa bongofleva Tanzania Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz.
Wakati tukisubiria video yao, wametutengenezea video ya mashairi iliyoambatana na hii single ya ‘prokoto’ kwa wale tunaopenda kujua kimeimbwa nini.