TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, June 30, 2014

BABA ALIYEDAIWA KUMBAKA MWANAE NA KUMUHARIBU VIBAYA ATIWA MBARONI AKAMATWA USIKU WA MANANE ALIKUWA ANAJITAYARISHA KUKIMBIA SO, WANANCHI WAIPIONGEZA 93.7 E-FM KWA KUIBUA UKATILI HUU ANGALIA TUKI ZIMA HAPA...!

 Huyu ndiyye manafunzi jina linahifadhiwa ambae amebakwa na babaake mzazi na kumuharibu vibaya.
 Mwanafunzi huyo akiwa nje ya kituo chya Polisi Hananasifu Moscow Kinondoni Jijini Dar..


 Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi jana asubuhi akitolewa kitu kidogo cha Polisi Kinondoni Moscow na kupelekwa kituo kikibwa cha Magomeni Usalama tayari kwa hatua za kisheria..


 Mtuhumiwa ambae ndiye baba mzazi wa mwanafunzi aliyebakwa muda mfupi baada ya kutiwa nguvuni na Jeshi ls Polisi Kanda ya Kinondoni mtuhumiwa huyo anaitwa Salum Kindamba.



 Hapa Salum Kindamba akiwapigia simu ndugu zake dakika chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kumbaka mwanae mwenye umri wa miaka 14 tu.
Na Livingstone Mkoi wa E-Fm Radio
Kufuatia kituo chako bora cha matangazo na habari nchini cha 93.7 E-fm radio siku ya Ijumaa wiki iliyopita kuripo tukio la kusikitisha la mwanafunzi kudaiwa kubakwa na babaake mzazi, hatimae Jeshi la Polisi Kanda ya Kinondoni limemkamata mzazi huo na kumsweka ndani.
Habari za uhakika zilizothibitishwa na E-fm zilieleza kuwa mtuhumiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Salum Kindamba alikamatwa siku ya Ijumaa saa 5: 45 za usiku maeneo ya nyumbani kwake Kinodoni Moscow.
Hata hivyo habari zaidi juu ya tukio hili lililoripotiwa kituo cha Poliswi Magomeni na kupewa jarada namba MAG/RB/ 6267/14 KUBAKA na  sikiliza kituo chako cha 93.7 E-Fm Radio siku ya leo ili kujua mengi.
Source: 93-7 e-fm Radio

No comments:

Post a Comment