TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, June 26, 2014

BALAA KUBWA WAREMBO MISS TEMEKE WAVAMIA STUDIO ZA E-FM RADIO WAONESHA MAAJABU MAKUBWA TIZAMA ISHU ILIVYOKUWA...!

 Meneja wa vipindi wa E-FM RADIO Dickson Mponera " PAPA DIZO" akiwakaribisha warembo hao mara baada ya kutua ndani ya ofisi za radio hiyo namba moja Tanzania

 Mmoja wa viongozi wa radio hiyo Sos B akisalimiana na mratibu wa shindano la Warembo hao Tom Chilala ambae pia ni mtangazaji wa kituo cha tv cha Star Tv.
 Warembo hao pia walipata nafasi ya kuingia chumba cha On Air na hapa wakimuangalia mtangazaji wa kituo hicho Safia Aman
 Meneja akitoa maelekezo namna sifa za mtangazaji anavyotakiwa ili kuwavutia wasikilizaji




 Sos akiwalekeza kitu warembo hao ambao hawapo pichana ndani ya studi hizo leo huku pembeni yake mitambo ya kisasa ya kurushia matangazo ikionekana.




Warembo wote wanatarajia kushiriki kinyang'anyiro cha kumska mrembo wa kitongoji cha Temeke wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani chumba cha mikutano kilichopo ndani ya radio hiyo
Hapa warembo hao wakiwasiri ndani ya ofisi za E-FM zilizopo Kawe Jijini Dar juu kabisa kwenye Jengo la K-net House.
Hata hivyo warembo waliweka wazi jinsi gari wanavyokunwa na radio hiyo na wako baadhi wenye vipaji walionesha nia ya kutaka ajira za utangazaji mara baada ya kumalizikia kwa shindano hilo linalotarajia kufanyika Ijumaa tarehe 27/6/2014.
Wakiwa ndani ya studio hizo walijifunza vitu vingi sana pamoja na kujionea mitambo ya kisasa ya kurushia matangazo ambayo haipatikani radio yoyote nchini Tanzania.
PICHA NA LIVINGSTONE MKOI

No comments:

Post a Comment