TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, September 2, 2013

DIAMOND,SNURA KWENYE KAMPAIN YA TUPO WANGAPI? LEADERS CLUB JUMAMOSI HII

Wakali mbalimbali wa muziki wa bongo fleva na band Tanzania watajikuta kwenye jukwaa moja jumamosi hii ya ta 7 - 09, pale leaders club kinondoni kwenye tamasha kubwa la wazi akiongea na mratibu wa tamasha hilo kutoka katika kampuni ya masoko OTHMAN MADATI alisema'' tamasha hilo litaanza saa 3 asubuhi na kutakuwa na burudani mbalimbali ikiwemo ile ya band tutakuwa nao WAZEE WA NGWASUMA, na kwa upande wa bongo fleva Atakuwepo Mwanadad mwenye nyonga laini SNURA wa MAJANGA, na nimevurugwa ,DIAMOND PLATNUM,SHELTA,H-BABA,SUMA MNAZALETI.kiingilio ni BUREEEEEE kabisa pia kutakuwa na huduma ya upimaji wa afya na uduma zingine mbalimbali.'' alisema bwana madati.

No comments:

Post a Comment