TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, March 31, 2014

KIJANA MWINGINE NAE ATANGAZA KUACHA USHOGA KUANZIA SASA ASEMA ANATAKA KUMRUDIA MUUMBA WAKE, ASEMA AMEIBA SANA WANAUME ZA WATU..!

Kijana aliyefahamika kwa jina la Emmanuel ambae alikuwa tishio kwa mapenzi ya jinsia moja lakini sasa hivi ametangaza kuachana kabisa na biashara hiyo badala yake anataka kumrudia muumba wake kwani tayari ameshaanza kutubu dhambi zake ili asamehewe, huku akisema kuwa amefanyakazi hiyo kwa muda sana tangu akiwa na umri mdogo na ameshatembea sana na waume za watu.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

DHAMBI SANA, MKE ANASWA AKILIWA ULODA WAKATI MMEWE AKIWA AMELAZWA HOSPTAL BAADA YA KUPATA AJALI YA PIKIPIKI ANGALIA HAPA..!

ZUHURA NA MWANAUME ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA PAPA MANOTI WALIPONASWA NA KAMERA ZA HOTEL ILIYOPO SINZA MADUKANI JIJINI DAR.
Na Mwandishi Wetu
Kweli ni aibu kubwa mwanamke mmoja wa mtu aliyefahamika kwa jina la Zuhura Shabani hivi karubini amenaswa akiliwa uloda  Hotel na jamaa mmoja mfanyabishara aliyefahamika kwa jina la Papa Manoti kwenye nyumba ya kulala wageni ulijulikanayo kwa jina la Manyara Lodg
Kwa mjibu wa mshuhuda wa tukio hilo walisema mwanaume wa mke aliyefumaniwa yuko Hospital mwezi wa pili sasa akiugiuza kiuno baada ya kuumia kwenye ajali ya pikipiki.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANI

MWANAMUZIKI CHIPUKIZI WA INJILI APIGA PICHA ZA AIBU KWA AJILI YA KUTAFUTA RIDHIKI....INASIKITISHA SANA ANGALIA MWENYEWE KWA MACHO YAKO..!

 KUMRADHI KWA PICHA HII:Natasha akipiga picha za aibu makusudi ili kumtumia mwanaume yeyote atakaevutiwa nae ili amnunua.
  
Hapa Natasha akiwa na nguo za heshima kwenye jamii
KUMRADHI KWA PICHA HII: Hapana Natasha akifanya upuuzi kwa kujipiga picha bila kuogopoa tena kwa hiari yake.
 Hapa inadaiwa ni Guest kwa mujibu wa maelezo yake kwenye mtandao.

Na Sakina Shabani
Tangu Blog ya Xdeejayz iwe mstari wa mbela kupiga vita tabia mbaya kwa wasichana mbalimbali kuacha kupiga picha za aibu kwenye jamii na kutoa picha kadhaa kwenye mtandao hadi kupelekea wasichana wengi kupunguza kama si kuacha kabisa lakini hali imeanza kurudi upya ambapo msichana mmoja ambae inadaiwa ni mwanamuziki wa nyimbo za injili kufyatua picha za aibu na kuziachia kwenye mitandao kwa lengo la kutafuta wanaume.
Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho ni msichana ambae yuko karibu na Natasha anaeishi maeneo ya KAWE jijini Dar alisema kuwa picha hizo zimesambaa mitandao na mtu aliyezisambaza ni yeye mwenyewe ambapo ziko nyingine mbaya zaidi ambazo msichana huyo anaonekana kujipapasa sehemu zake nyeti kwa lengo la kuwatia mshawasha wanaume dhaifu.
Xdeejayz ilifanyajitahada za kumtafuta msichana huyo kupitia simu yake ya kiganjani lakini hakuweza kupatikana hivyo tunawaahidi wiki hii kabla haijaisha tutawaletea full stori kuhusu dada huyo na kutaja mahala anapofanyia kazi kwa lengo la kuwatahadharisha watu juu ya afya yake kwani kuna taarifa kuwa sio mzima hivyo anafanya hayo upuuzi huo ili kuwamaliza wa binadamu wenzake makusudi.
TAARIFA: XDEEJAYZ inaendelea kutoa uwito kwa wasichana waliokosa maadili kuacha kujipiga picha hizo za aibu kisha kuzisambaza kwani ni kosa kisheria na tunaendelea kulani vikali kwa wale wote wanaofanya hivyo jambo hili halikubaliki hata kidogo.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

SIRI YA DIAMOND KUNG'ANG'ANIA KWENDA NIGERIA YAFICHUKA MTUME JOSHUA KUMBADILI DINI, ANGALIA HAPA UPATE UKWELI WA MAMBOA..!


Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao.
 
Wema Sepetu hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege.
 Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana na meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege JNIA tayari kwa safari 

Mganga wa mastaa nchini Dk Kamdege
Nabii Joshua

Na Mwandishi Wetu kwa msaada wa MtandO
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushua taarifa mpya zimezuka kuwa kumbe mafanio anayoyapata kwa sasa inadaiwa kuna mkono wa nguvu za giza zinazodaiwa kutolewa na mtume mwenye miujiza mingi ambae watu humuhusisha na Freemansonry
Habari zilizoifikia Xdeejayz toka kwenye mtandao mmoja nchini humo unaema kuwa mastaa kibao wenye mafanikio kwenye nchi za Afrika na dunia baadhi ni lazima wafike nchini Nigeria kwa Nabii huyo ambae ni gumzo dunia nzima.
Hata hivyo habari hizo zilisema kuwa kuna uwezekano asilimia mia kuwa Diamond ameshapewa baraka na Nabii huyo ndiyo maana amekuwa safari za kwenda nchini humo haziishi hivvyo siku zi nyingi huenda akajikuta anaangukia kwenye dini hiyo ambayo.
Hata hivyo Xdeejayz ilifanya jitihada za kumtafuta Diamond kupitia mtandao kwa vile hayupo nchini lakini juhudi hizo ziligonga mwamba baada ya kutopatikana.
CREDIT:XDEEJAYZA TANZANIA

WAHESHIMIWA WABUNGE HAWA WAIZUNGUMZIA RADIO MPYA 93.7 FM DAR ES SALAAM, WATOA PONGEZI KWA TCRA KWA KUTOA KIBARI HICHO WAWAASA VIJANA WENYE VIOPAJI VYA MUZIKI KUCHANGAMKIA HARAKA!





Na Livingstone Mkoi aliyeko Dodoma
Waheshimiwa wabunge wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hatimae wamefunguka na kuizungumzia ujio mpya wa kituo cha radio mpya itakayopatikana kwa masafa ya 93.7 Fm Dar es Salaam.
Mwwandishi wa Blog hii ambae yuko Mkoani Dodoma kimajukumu ya kiofisi alifanikiwa kuzungumza na baadhi ya waheshiwa wabunge hao vijana ambao ni vipenzi vya watu nchini na kwenye majimbo yao ambapo mtu wa kwanza kuzungumza alikuwa Mbunge Gairo Mh Hemed Shabiby alisema" Tunawapongeza sana wamiliki wa radio hiyo mpya kwani itasaidia kuwainua vijana wengi na kwani ifahamike kuwa muziki ni ajira kama ilivyo kwa ajira nyingine hivyo pongezi kwa wamiliki wa kituo hicho" Alisema Mh huyo 

Aidha nae Mbunge wa Kawe Jijini Dar Halima Mdee alipongeza ongezeko la medio nchini kwani utaleta mafanikio yaa nchi " Hiyo ni nzuri kwa kweli nami pia naungana na waheshimiwa wengine kuwapa hongera wamiliki wa kituo hicho kwani kwa sasa vijana wengi wanatamani kuimba hata kule kwenye jimbo langu kuna wanamuziki wengi sana wachanga ambao kufunguliwa kwa radio hiyo kutasaidia kuwatambulisha" Alisema Mh Mdee ambae ni kipenzi cha wananchi wa Kawe
Hata hivyo nae Mh Sugu alipongeza sana tena kuanzishwa kwa redio hiyo itakayopatikana Jijini Dar kupitia masafa ya 93.7 Fm na kudai sasa muda wa mageuzi umefika hivyo ni dhahiri wanamuziki wamepata mkombozi hivyo ni nafasi kwao kuanza kujipanga kwani wengi wao walikuwa wamekata tamaa ya kufanya muziki kutokana na ufisadi unaoendelea sasa kwa vituo maarufu vya radio za burudani.
Mh Komba ambae nae ni mwanamuziki ameonesha kufurahiswa kwa kufungulia radio hiyo na kusema itasaidia kuwapa vijana ajira kwani kwa sasa nchi yetu vijana wengi wana vipaji lakini tatizo linakuja namna ya kuviendeleza hivyo radio hiyo ije kwa kusaidia wanyone.

Sunday, March 30, 2014

MAKUBWA JAMANI MAMA SHARO AMPA TUHUMA NZITO SANA KITALE EBU ANGALIA HAPA DHAMBI SANA..!

Mama yake na marehemu Hussein Mkieti aka ‘Sharo Milionea’ .Makubwa! Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu na muziki, marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ amemtuhumu msanii wa vichekesho ambaye alikuwa rafiki wa mwanaye, Musa Kitale kuwa alikula michango ya kumbukumbu ya kifo cha mwanaye, mwaka jana.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Mama Sharo amekuwa akimlalamikia Kitale kwa watu kwamba alikula fedha za mchango wa mwanaye hivyo kupigwa marufuku kwamba kitu chochote kinachomhusu Sharo asipewe.

Ilidaiwa kwamba, chanzo cha mama Sharo kutaka Kitale asipewe kitu chochote kinachomhusu marehemu ni baada ya hivi karibuni Klabu ya Bongo Movie Unity kutangaza kuwa litatoa Tuzo kwa Sharo Milionea kama kumbukumbu kwani alikuwa ni mwenzao katika tasnia ya filamu.
Ilisemekana kuwa mama huyo alielezwa kwamba tuzo hiyo itapokelewa na Kitale ndipo alipokataa na kusema hataki kabisa kitu chochote kipitie kwa msanii huyo kwa sababu huwa hamfikishii.



Msanii wa vichekesho Musa Kitale.“Mama Sharo amekuwa akilalamika kwa muda mrefu sana kwamba Kitale anatumia vitu vya mwanaye, eti alichangisha michango ya kumbukumbu hakumfikishia hivyo kwa sasa ameamua kupiga marufuku asikabidhiwe kitu chochote,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kupata habari hizo, wanahabari wetu walimtafuta Kitale ambapo kabla hata ya kujibu tuhuma hizo, alinyanyua simu na kumpigia mama Sharo kumuuliza kama kweli amezungumza madai hayo.
Mama Sharo alikiri kuwa ni kweli alizungumza akidai alifikia uamuzi huo baada ya kutonywa na watu kuwa Kitale amekuwa ‘akichikichia’ fedha za marehemu mwanaye.
Kitale, baada ya kujiridhisha, alitoa ufafanuzi kuwa madai hayo hayana ukweli na kudadavua kwamba wakati wa kumbukumbu ya Sharo mwaka mmoja (Novemba) tangu alipofariki dunia, hakuna michango yoyote iliyotolewa.
“Inaniuma sana kwa sababu enzi za uhai wa Sharo hatukuwahi kugombana hata siku moja na mama Sharo alikuwa analitambua hilo, tuliishi kama ndugu na mimi ndiye niliyemsaidia mpaka akapata umaarufu lakini sasa namshangaa huyu mama kunishutumu vitu vya uongo,” alisema Kitale kwa huzuni huku jasho likimtiririka.

DUH, TIZAMA WEEKEND ILIVYONOGA NA BANKERZ NITE NEW MAISHA CLUB DAR HAPAKUTOSHA MBONA!











 Tupinge ngoma gani ihili tuwachizishe hawa watu wa bank?
 Sikia mkuu hawa watu wa bank wapigie bolingo boss cloude alisema tuwapeleke huko tuone itakuwaje
 Dvj majey,hyperman hk na zungu mnyama the drumer.... ni shida sana

 dvj majey
 hyperman hk
 zungu mnyama
 znungu mnyama na hyperman hk




 hk na ommy crayze
Hyperman hk manager of entertaiment akiwa katika poz

JUMA NATURE NA PROFESSOR JE WAKABIDHIWA VIFARU RASMI KWA AJILI YA KUTENGENEZEA VIDEO YAO MPYA EMBU ANGALIA HAPA..!


Ni Director wa kwanza bongo wa Music Videoz kupata access ya vifaru,ndege, helicopter pia sare za jeshi kufanyia music videoI believe kwa Kumtanguliza Mungu kila kitu kinawezekana"After all, I believe that legends and myths are largely made of
'truth', and indeed present aspects of it that can only be received in
this mode; and long ago certain truths and modes of this kind were
discovered and must always reappear."Directed, Edited By: Mike Mwakatundu as Director MUnder Williamz Visions Co LimitedAll rights Reserved Under Copyright And Neighboring Right Act, only
for personal entertainment, not for sale or public performance.Hope Ya'll going to have fun.

KAMA WEWE NI MWANAUME BASI ANGALIA PICHA HII NA FANYA HIVI MUHIMU SANA..!

Mwanaume acha kucheka cheka hovyo na upuuzi ukiwa mjini MKEO ATAKUWA ANAPAKULIWA HOVYO...haya fuata haya UTAONA MAPENZI yatakavyo nyooka...wanawake viumbe vilivyoumbwa kwa kudanganya danganywa...so do this steps wala usiongee maneno...then rudi hapa utoe ushuhuda...
1: Kama una bastola na mkeo au mpenzi wako
humwelewi...akiwa yuko home...ww chukua uwe
unaiosha osha...huku unaiandaa vizuri akiwa
anaona...usiongee sana nae...
..2.. kama huna bastola..chukua hata PANGA...noa
vizuriiii...paka mafuta huku unaicheki...huku ukipita
pita karibu yake...na weka somewhere kabatini...

..3..Basi kama huna panga...noa vizuriiii kisuu na
kiandae huku akiona na unapita pita karibu yake
USIONGEE KITU...akikusemesha ww mwambie
kilikuwa BUTU...usijibu sana...ila usicheke cheke.HUKU UNAIMBA KIFOO KIFOO...kifoo...kifooo ..oooh kifo hakina huruma....
...Mwanaume usiongee sana kwani ushajua message
sent....then mwonyeshe dalili kuwa ana kucheat...ila
...usimwambie...ww tulia tu...utaona mabadiliko makubwa ajabu...atanyooka...
...mwanaume acha kucheka cheka hovyo au kusema
hovyo na mkeo atakuzunguka..
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

KIUNO CHANGU KINANIPA FAIDA SANA SIJUI NISINGEUMBWA HIVI NINGEIISHIJE LEO HII?-MASOGANGE


Video Queen ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’

VIDEO QUEEN ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakizimikia kwenye mwili wake kama makalio.asogange aliiambia XDEEJAYZ kuwa:“Hakuna sehemu ninayoipenda kama makalio, yamekaa vizuri, nayapenda, najidai kupitia sehemu hiyo niliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu." Na kuongeza kusema kiuno chake kimekuwa deal sana hapa mjini

Makalio ya Agnes Jerald ‘Masogange’.
 CREDIT:XDEEJAYZ TANZANI