TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 8, 2014

LAANA YA BABA WA DIAMOND NDIYO ITAKAYOMMLIZA MWANAMUZIKI HUYO ANGALIA HAPA ANACHOKISEMA BABAAKE MZAZI AIBU KUBWA AISEE!

BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote za kumjali kama mzazi.

Nasibu Abdul ‘Diamond’.
 
Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.
'Mshua' Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa.
“Sitaki kumzungumzia Diamond kabisa kwa sababu nitaonekana najipendekeza kwake kwa sababu ameshasema nibaki kama baba tu, naona siyo riziki yangu,” alisema baba Diamond.
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na maelewano hafifu na baba yake, alijibu: “no comment.”
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment