TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, September 4, 2012

OMMY DIMPOZ NA BOB JUNIOR NJAA YAFANYA WAONGEE KWENYE NDEGE

Mkali ommy dimpozi amejikuta anaongea na hasimu wake bob junior kwenye ndege wakati wanakwenda kwenye show ya fiesta mwanza baada ya kukaanae siti moja. ilikuwa hivi ommy dimpozi alikuwa na ubao msosi ukaja baada ya msosi kuja akachukua chake akakipiga.  bob junior akamwambia vipi ommy mie sijisikii kula vipi nikuchukulie ule wewe? hapohata kusalimiana hawakusalimiana wala kupiga story yoyote. ommy akasema nipe tu sio ishu . Unajua ugomvi wao ulianzia wapi ommy kabla hajatoka aliomba kufanya nyimbo kwa bob junior. akajibiwa  bado sana haujui kuimba. Tangu hapo bob junior na ommy dimpozi hawajawahi kuongea mpaka siku hiyo walivyokutana kwenye ndege na kujikuta wamekaa siti moja. Leo yule alieonekana hajui kuimba amechukua tuzo mbili na anafanya vizuri sana, hili lilimfanya diamond alivyoenda kupokea tuzo kwa ajili ya ommy dimpozi akasema kunawaliosema ommy hajui kuimba na wakamkataa kwenye studio zao leo simnamuona ommy ? ilikuwa kwenye kill music awards.OMMY DIMPOZI ANAZINDUA VIDEO YAKE YA WIMBO WA BAADAE JUMAPILI HII NEW MAISHA CLUB KWA MARA YA KWANZA  KIINGILIO BUKU 10 TU.

Bob junior
 

1 comment: