TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 8, 2014

SIJAZOEA MAPENZI YA SIRI HIVI KARIBUNI NTAMWANIKA KIPENZI CHA ROHO YANGU- PENNIEL


 
Prezenta wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ katika pozi.
PREZENTA wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri.
Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na paparazi wetu na kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond (Nasibu Abdul) ambaye kila mtu alikuwa anamjua,hajawahi kuwa na mahusiano na mtu mwingi lakini hivi karibuni atamwanika m2 anausuuza mtima wake kwa sasa.
 
“Bado nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama  nimepata mpenzi wala haichukui muda kila mtu atajua tu,” alisema Penny.

No comments:

Post a Comment