TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, July 19, 2013

AIBU NZITO, MISS UTALII TANZANIA APIGA PICHA ZA UCHI,HALAFU NI MTOTO WA SHEKH MKUBWA TU NCHINI

 Mshiriki Miss Utalii Taifa 2013 Fathiya Masoud maarufa kwa jina la Mrembo wa Facebook.
 Mrembo wa Facebook.
Hapa Mrembo wa Facebook akiwa ameanza kuvua nguo taratibu ilikuwa kama masihala vile.


 

  Fathiya hapa ameamua kuvua kabisa ili kubaki na chupi peke yake.


Na Mwandishi Wetu

WakatI maelfu ha waumini wa dini la Kiislam duniani wakiwa ndani ya mfungo mtukufu huku wengi wao wakitumia kipindi hiki kupunguza maovu yao kwa mola kwa kufanya ibada,Hali imekuwa tofauti aliyekuwa mshiriki wa shindano la kumtafuta Miss Utalii Taifa Faithiya Madoud amepiga picha chafu za kujidhalilisha pamoja na kumdhalilisha mwanamke wa kitanzania.
Picha hizo chafu kwa mara ya kwanza zilinaswa na Xdeejayz toka kwa chanzo chetu cha habari ambapo inadaiwa msichana huyo ambae ameanza kuonja radha ya ustaa kufuatia kufanya vyema kwenye filamu za Mrembo wa Facebook na Nimpende Nani ambapo filamu zote hizo amecheza kama staa.

Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu klichofikisha cd nzima ya picha hizo mezani kwa mtandao huu hatari kwa kunasa matukio magumu kilisema kuwa msichana huyo ambae mapema mwaka huu alishiriki shindano hilo la Miss Utalii Taifa yaliyofanyika Mkoani Tanga. Lakini kwa bahati mbaya hakufanikiwa kushika nafasi za chini lakini alichaguliwa kuwa balozi wa Hotel zote za Kitalii nchini Tanzania pamoja na Kule Zanzibar

Hata hivyo habari zaidi ziliendelea kusema kuwa bint huyo kabla ya kuingia kwenye umiss alikuwa ni msanii maigizo na ametamba sana kwenye filamu hizo kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa nchini.

Aicha chanzo hicho kilisema picha hizo ambazo nyingine ni mbaya sana ambapo blog hii imeshindwa kuzitundika zote kwa kuzingatia maadili kwa wasomaji wetu lakini ilidaiwa kuwa picha hizo alikuwa anapigwa na mwanamke mwenzake na ilionekana walikuwa Hotel na haikufahamika walifika kufata nini kwenye nyumba hiyo ya wageni.
Baada ya kupata picha hizo xdeejayz ilivuta waya moja kwa moja hadi kwa staa huyo mtarajiwa na kwa bahati nzuri simu yake ilipokelewa na yeye mwenyewe na haya ni mahojiano kati ya mwandishi wa Xdeejayz na mrembo huyo " Xdeejayz habari yako dada bila shaka naongea na Fathiya? " Ndiyo habari yako nani mwenzangu?"
Xdeejayz"
Hapa ni ofisi za DTV kupitia blog ya Xdeejayz" Fathiya" Ndiyo nikusaidieni nini DTV?"
"Xdeejayz ahsante sana Fathiya ofisi yetu imenasa picha zako za utupu hivyo tulitaka ufike ofisini kwetu ili kuzitambua kama inawezekana au thubitisha kama uliwahi kupiga picha na namna hiyo"
"Fathiya umesema wewe nani?
"Xdeejayz ofisi za DTV kupitia blog ya xdeejayz"
"Fathiya sasa kwani nani kawaletea hizo picha? mimi hizo picha nilipiga kwa matumizi yangu binafsi sasa nyie inawahusu nini lakini mbona waandishi wa Tanzania mnapenda kufatilia maisha ya watu? Sitaki kabisa mtoe picha zangu kwenye Tv yenu au gazeti la sivyo nitakufa na mtu sipendi kabisa ****** zenu" Alimalizia na tusi Fathiya kisha akaata simu.

Hata hivyo juhusi za kumtafuta Rais wa Miss Utalii Tanzania Gedion Chipungahelo hazikufanikiwa baadaya namba yake ya simu kushindwa kupokelewa.
XDEEJAYZ ina laani vikari tabia za mabint wenye tabia chafu kama hizi za kujipiga picha za kujidhalilisha bila sababu za msingi.

4 comments:

  1. Tukisema umiss ni mafunzo ya ukahaba hamkubali na kuwajaza uchafu kichwani watoto wakike. Mnawaharibu wenyewe afu mnalalamika what do you get from this kind of activities mamiss mamiss au makahaba? Anagalieni akina Masogange, Wema, Irene na wengine wanayo yafanya? BULL SHIT ON EVERYTHING KAMATI MISS TANZANIA haina maana, BASATA haina maana haiwezekani wakataze madensa wa bendi wasivae vichupi afu wao wanakuwepo wenye mashindano ya mamiss wakiangalia vichupi hivyohivyo.

    ReplyDelete
  2. mh inatisha mtoto akienda kwenye umiss tayari ndio tiketi ya ukahaba jamani wazazi tuwemacho hilirungu tuwape umoja wakinana mama ccm mnafanya nini nahili pia liwe agenda kuu kwenye vikao vyenu ili tuwanusuru mabint nyiye mkipiga kelele itasikika huu umiss wakina lundenga wabadilishe hizo sheria za vichupi na kukaa uchii. lazima umiss uwepo

    ReplyDelete
  3. hayo ndiyo matokeo ya mambo ya kuiga ukisema tangu lini mtanzania akatafutwa ktka warembo tunasema twende na wakati .basi wakati ndiyo huo .kupiga picha za utupu halafu wazazi tunaona watoto wetu walivyo pendeza.pole mtanzania

    ReplyDelete
  4. Hii tabiya ya kuiga wazungu ndio inawaponza sana wa TZ,hasa ma star wetu wa kibongo wameiga kila kitu ndio utaona wengi wamekuwa watumiaji wa Madawa ya kulevya na kupiga picha za uchi hii na hatari sana kuiga mambo na utamaduni wa watu usio na faida ila hasara tupu.

    ReplyDelete