TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 8, 2013

HUYU NDIO AGNES MASOGANGE HAPANA CHEZEA FIGA YAKE


Baada ya kuwa mbali na macho ya watanzania kwa muda sasa.....baada ya
Video yake ya utupu ilivyovuja mitandaoni....!!
ameonekana kwenye picha izi zenye utata kidogo....akiwa mwenye
afya tele na mwenye furaha
sana...... akizungumza na This is Diamond alisema ''
Kwa sasa nipo nchini kwa muda tu
lakini nina biashara zangu ambazo nafanyia nje ya nchi,
Biashara za kina dada kama
Viatu n etc za wanawake.....Alizidikufunguka
zaidi akimshukuru mungu
kwa kumfikisha alipo mpaka now na soon nakaribia
 kufungua saloon yake na boutique
maeneo ya Mikocheni,Ingawa sintapenda kutaja
 lini lakini watu wategeme nguvu
za Ujasiriamali kutoka kwangu....''

This Is Diamond Inapenda kumtakia Maisha Mema
Agnes na Baraka tele...!

No comments:

Post a Comment