TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, May 22, 2013

SHUHUDIA PICHA ZA VURUGU MTWARA HIZI HAPA


Kuna walioshika mawe,visu,hata mapanga du Tanzania inakwenda wapi?

2 comments:

  1. Haya ndiyo Maisha Bora kwa kila Mtanzania? au Bora Maisha kwa kila Mtanzania?

    ReplyDelete
  2. Mfumo wa utawala we2 n demokrasia kwa maana serikal n ya wa2..yeyote ana hak ya kuckilizwa bla kuangalia tofaut ya makabla,vyama,dini,umr ama elimu..kwa nn serikal inayoongozwa na wanasiasa wenye elimu za kutosha wanashndwa ku2mia mbinu mbadala ya kumaliza tatzo la mtwara kwa kuwackiliza madai yao maana kiukweli hailet picha barabara yao tang iwekewe ahad ya kua moja ya barabara bora n zaid ya miaka 20 sasa kulikon hlo bomba la gec lijengwe ndan ya miez 3 aaaagh jaman hanta kama kuxoma hawajui ila picha inaonyesha mbele yao kuna nn..hyo action ambayo serikal imechukua sio sahh...kwann iwe tz ya 2013 ndo yenye yote haya udin migogoro...watanzania wazalendo watacmama watarud nyuma watackitka nuru ye2 ya aman inafifia..na viongoz waadlifu ktk hl wataona haya na ku2bu ila bora viongoz wataenda mbele na kuvimba vichwa...

    ReplyDelete