TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, October 23, 2012

RICK ROSSE WA BONGO AFUNIKA CLUB MAISHA KWA SHOO YA KUFA MTU!
 
 
Kijana wa kitanzania toka pande za TMK David Shaid a.k.a Rick Rose wa Bongo Jumamosi iliyopita aliomesha uwezo wa hali ya juu wa kuimba nyimbo zote za mwanamuziki wa toka Marekani Rick Rose halisi huku mashabiki wengi wakishindwa kuamini kama si yeye Rick Rose orijino.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mapapazi wa Xdeejayz huku umati mkubwa wa mashabiki ukimshangilia kijana huyo aliyekulia nchi Marekani zaidi ya miaka ishirini tangu alipokwenda huko akiwa na miaka miwili hadi aliporejea hivi karibuni na kujitumbukiza kwenye muziki.
Hata hivyo kivutio kikubwa kwa kijana huyo sio kufanana sura tu lakin anamudi vyema ung'eng'e wa kimarekani hali iliyompa sifa kubwa.

No comments:

Post a Comment