TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, October 23, 2012

BWANA MISOSI APATA PIGO!
Mwanamuziki nyota  wa kizazi kipya nchini Bwana Misosi amepata pigo kubwa la kufiwa na kaka ake wa kuzaliwa tumbo moja na msiba upo Kinyerezi Jijini Dar.
Habari zilizopatikana mapema leo zilisema kuwa kaka wa mwanamuziki huyo aitwae Emmanuel Rshahu amefariki katika Hospitali ya taifa ya Muh. na bado haijafahamika kama msiba huo utasafirishwa kwenda kwao Mkoani Tanga au utazikwa Jijini Dar.

No comments:

Post a Comment