TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Friday, October 23, 2015

SIRI YA WASANII WA KIKE BONGO MOVIE KUJIUZA ZAFICHUKA : VICTORIA LUOGA AWACHANA LIVE..!



 Victoria Luoga msanii anaechipukia kwenye kiwanda cha Bongo Movie
Victoria Luoga msanii anaechipukia kwenye kiwanda cha Bongo Movie


Na Anna Mdemu

Msanii chipukizi ambae pia ni mjasiriamali Victoria Luoga ametoa funzi kubwa kwa wasanii wenzake wanaokimbilia ustaa wakati hawana kitu hali inayopelekea mwisho wa siku wajiingize kwenye ukahaba.

Victoria ambae ametamba vilivyo kwenye filamu ya Kivuri change na yeye amecheza kama Staa alisema” Ni ukweli Dada wasanii wengi wa kike wanakimbilia kuwa mastaa wakati hawana kitu au hawafanyi kazi nyingine zaidi ya  sanaa hali inayowapa shida wakati wanapokuwa na majina tayari ili hali hawana kitu hali inayopelekea kujitoa muhanga kwenye umalaya ili amradi wapate pesa za kujikimu” Alisema Luoga

Msanii huyo ambae ameanza kujitegemea tangu akiwa mdogo kwa kutafuta hela ambapo hadi sasa tayari ana vitega uchumi vyake ambapo sasa sanaa anafanya kwa kwa vile ipo kwenye damu na si vinginevyo hivyo hata kama sanaa ikizungua poa tu alisema msichana huyo.


Victoria kwa  sasa anamiliki Grocery kadhaa hapa mjini, pamoja na nyumba za kulala wageni licha ya umri wake kuwa mdogo lakini amefanya mambo makubwa  na mwisho aliwashauri wasanii wenzake hasa wanawake  wajitahidi kuwa na kitu kingine cha kufanya tofauti na sanaa ili iwasaidie kujikimu badala ya kutegemea sanaa tu ambayo kwa haraka haraka hailipi.

Thursday, October 22, 2015

MCHUNGAJI MWENYE NGUVU ZA AJABU ZA KIMUNGU AIBUKA DAR, YUPO KIMARA SUKA MAENEO YA GORAN, WATU MAGONJWA SUKU WAPONA PAPO KWA HAPO, MGONWA UKIMWI APONA MADAKTARI WASHINDWA KUAMINI AWATAKA WATU WASITESEKE WAFIKE HARAKA KUPATA UPONYAJI..!

 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Amosi Mbena akimtoa mapepo mabaya mmoja wa waumini waliofika Kanisani kwake maeneo ya Gorani Kimara Suka






  Waumini wakiwa kwenye maombezi maalum
  Ni hili kimuonekano ni dogo lakini linafanya mambo makubwa sana roho mtakatifu yupo mahara hapa kwani mamia ya watu wamekuwa wakipokea uponyaji wa haraka kuliko maelezo.


  Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Amosi Mbena akimtoa mapepo mabaya mmoja wa waumini waliofika Kanisani kwake maeneo ya Gorani Kimara Suka

 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Amosi Mbena akimtoa mapepo mabaya mmoja wa waumini waliofika Kanisani kwake maeneo ya Gorani Kimara Suka

Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar wenye shida mbalimbali na kusumbuliwa na magonjwa sugu wamekuwa wakimiminika kwenye Kanisa la PHM BONDE LA UKOMBOZI NA MAFANIKIO KIMARA GORANI maeneo ya Suka.
Wachungaji wa kanisa hilo wamekuwa na nguvu za ajabu za kimungu kwa kuwaombea watu wenye maradhi sugu na hata walioshindikana Hospital hata wakiwemo wale UKIMWI.
Akiongea na gazeti hili Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Amosi Mbena alisema" Jamani watanzania wenzangu acheni kuwaacha watu wenu wafe kwa maradhi ambayo hapa kwangu yanatibika yawe yametokana na neema ya Mungu au ibirisi utakapo mketa mgonjwa wako mahara hapa basi amekuwa mzima Mungu wetu wa mahara hapa ni Mungu wa kweli na roho wala hatuponyi watu kutumia mafuta" Alisema Mchungaji huyo
Aisha mchungaji huyo aliongeza kusema" Licha ya kwamba kwa sasa nina vita kubwa na wachawi katika eneo hili lakini kwenye vita hii mshindi ni mimi kwani aliyemo ndani ya nafasi yangu ndiye atakaepamba na watu wabaya" Alisema
Mchungaji huyo alisema kwa mtu yeyote anaehitaji maombi  mahara popote muda wowote basi anaweza kumpigia moja kwa moja kupitia simu yake ya kiganjani  0716-200065  Mchungaji Amosi Mbena na 0657-897211 ya mchungaji Innocent ambae ni msaidizi wake na kuongeza hata UKIMWI kwake unaponyeka kwani Mungu wake ni Mungu wa kweli.
NYOTE MNAKARIBISHWA 

ONYO: DOKTA FADHILI AWATIA HOFU WAKAZI JIJINI DAR , WATU WACHANYIKIWA, MAPROFESA CHUO KIKUKUU WACHANGANYIKIWA KUHUSU KIJANA HUYU!


 DOKTA FADHILI " Billgate wa Tanzania ambae amezusha  taharuki kwa watanzania kiasi cha kutia hofu
                       
  DOKTA FADHILI " Billgate akiwe kwenye msitu wa Ajabu nchini Marekani.

Na Mwndishi wetu

Jina la Dokta Fadhili au maarufu kama Billgate wa Tanzania sio geni masikioni mwa watanzania, Amezusha hofu kubwa kwa wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji vyake.
Kwa maelezo zaidi fatilia taarifa zake kwenye gazeti la Kiu Jumatatu au Visa la Alhamis kujua nini  kinaendelea kuhusu yeye.

Sunday, October 18, 2015

MICHEZO: FAULO ZA "KIJINGA" ZAIKOSESHA AZAM POINT TATU KWA YANGA, MASHABIKI WACHUKIZWA WENGINE WAONDOKA KABLA YA MUDA KUMALIZIKA..!







Hata hivyo katika mchezo huo ambao ulianza kwa kila timu kushambulia lango la mpinzani wake lakini Azam walionekana kucheza faulo nyingi kwa wachezaji wa Yanga kiasi cha kuwaboa mashabiki kwa kushindwa kutulia na kucheza mpira mzuri. 
Aidha refa wa mchezo huo alijitahidi kuchezesha fea kwani awali alijaribu kutumia kuonya kwa mdomo kwa wachezaji wa Azam ambao tayari walikuwa wamepaniki, hata hivyo isingekuwa kucheza faulo za "Kijinga" na zisizokuwa za msingi Azam walikuwa na nafasi kubwa ya kushinda hasa kwenye kipindi cha dakika ya 84 na 89 kwani Wachezaji wa Yanga walipoteana kwenye dakika hizo mara baada ya mchezaji wa Azam Kipre Tchetche kurusha goli baada ya Yanga kuongoza kwa dakika zote.

Friday, October 16, 2015

WATANZANIA WATAMKUMBUKA KIKWETE KWA MAMBO HAYA 10. MASKANIBONGOTZ INAKUPA ISHU NZIMA..!

 Rais JAKAYA KIKWETE na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimpa pole Mama Sepete baada ya kufiwa na mumewe.
  Rais JAKAYA KIKWETE akiwa na wageni wake kwenye moja ya Hafra alizokuwa anaziandaa Ikulu kwa ajiri ya kula pamoja na watoto wasiojiweza
  Rais JAKAYA KIKWETE na Mkewe hawakuacha kufika kwenye msiba wa kila kiongozi bila kujari dini yake.

  Rais JAKAYA KIKWETE na Mkewe walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha watanzania kupima afya zao.
  Rais JAKAYA KIKWETE akilia kwa uchungu siku alipokuwa akiuaga mwili wa Marehemu Komba, pembeni yake ni Anne MAKINDA
  Rais JAKAYA KIKWETE na mkewe wakiwatia moyo familia hii


 Watoto wengi walimpenda Rais wao ambae  hivi karibuni ataiachia nchi kwa Rais Mpya wa TANZANIA.

Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete ambae mara baada ya wiki ijayo atakabidhi kwa Rais mpya wa Tanzania baada ya kumaliza majukumu yake ya kuingoza nchi hii mika kumi kwa mujibu wa taratibu za chama cha Mapinduzi kuwa kila baada ya miaka kumi lazima wabadilishe Rais mwingine.
Hata hivyo Rais Jakaya Mrisho Kikwete atakumbukwa kwa mengi mazuri ambapo watanzania wengi watamkumbuka kwa uchangamfu wake tabasamu lake licha ya kwamba alikuwa kiongozi wa Taifa lakini hakuwa mbali na wananchi wake kwa kupiga nao stori kujadiliana mambo mbalimbali.
Rais sasa anakwenda kuungana na team ya marais waliotangulia kama Mkapa, Mwinyi na atakuwa kama raia maarufu akama yeye mwenyewe anvyosema, licha ya kwamba anakiachia kiti cha urais lakini atakuwa anaonekana kwenye majukumu mengine ya kitaifa kama tunavyowaona marais wastaafu.
Hata hivyo kuna mambo kumi ambayo watanzania watamkumbuka Mh Jakaya Mrisho Kikwete akiwemo mkewe Mama Salma Kikwete.
 Alikuwa na upendo mkubwa kwa Watanzania wote bila kujari itikadi zao.
 Kila palipotokea matatizo ya msiba, ama majanga yoyote lazima auhudhurie akiambatana na mkewe. na mengineo mengi.  Tunamtakia mapunziko mema Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Tuesday, October 13, 2015

HII HATARI: MTOTO MCHANGA AONESHA MAAJABU KWA LOWASA, AFANYA MAMBO YA KUSHANGAZA ATAJA JINA LAKE MARA SABA KWA SIKU, WAZAZI WAKE WACHANGANYIKIWA WASEMA HUU NI MPANGO WA MUNGU. MASKANIBONGOTZ INAKUPA A-Z

 


MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA GENIUS BOSS NGASA AMBAE NI MTOTO WA MWANDISHI WA HABARI NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA BOSS NGASA MEDIA INAYOMILIKI NA BLOG YA BOSS NGASA NA RADIO MPYA YA NGASA FM AMBAYO ITAZINDULIWA JANUARY MWAKANI AMEONSHA  MAAJABU MAKUBWA KWA KUTAJA JINA LA MGOMBEA URAIS WA UKAWA  EDWAD LOWASA TANGU AKIWA NA SIKU TATU TOKA AMEZALIWA.



Mwandishi wa Habari Boss Ngasa akiwa na mwanae Genius.

Na Mwandishi wa Maskanibongotz-Dodoma

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mji wa Dodoma na vitongoji vyake vimekubwa na mshtuko kufuatia mtoto mdogo mwenye umri wa miezi minne kuongea na kutaja jina la Mgombea Urais kupitia Chama Cha Maendelea "CHADEMA" Bwa Edwad Lowasa hali iliyozusha mjadara mkubwa ndani ya familia hiyo na kuzusha taflani.

Habari za uhakika toka ndani ya familia ya Mwandishi huyo wa habari na mmiliki wa blog ya Bossngasa zilisema mtoto huyo alianza kuonesha maajabu hayo tangu akiwa na siku tatu toka amezaliwa " Ilikuwa usiku wakati familia hiyo ikiwa imelala na mtoto huyo ghafra walisikia sauti nyembamba ilikuwa ikitoka kwenye kinywa cha mtoto huyo iliyokuwa ikimtaja Lowasa Lowasa" Kilisema chanzo hicho

Hata hivyo baada ya kusikika kwa sauti hiyo wazazi wa mtoto huyo  waliogopa sana na hawakuamini kilichokuwa kinasikika toka kwa mtoto wao  lakini walimshkuru Mungu kwa utukufu huo licha ya kwamba hawakujua maana ya tukio hilo la kushangaza.

Aidha katika sauti hiyo pia kuna sauti nyingne ilikuwa ikisikika kwa mbali sana ambayo ilikuwa inasikika kwa shida kutokana na kuwa ndogo lakini kama ilikuwa inasema Rais Rais ukiacha hii ya Lowasa ambayo ilikuwa inasikika sana.

Baada ya mtandao huu wa maskanibongotz kupata habari hizo ulifanya mawasiliano na mwanahabari huyo maarufu Mkoani Dodoma ambae mwanae  huyo amezaa na mtoto wa kigogo "Jina linahifadhiwa" ambae pia dada huyo ni maarufu sana nchini, na alipatikana kupitia simu yake ya kiganjani na kueleza haya.

Na haya ndiyo majibu yake "Ndugu yangu hizo habari naweza kusema ni za kweli isipokuwa sikupenda ziwe ishu sanaaa, kutokana na mimi baba kubanwa na maadili yangu ya kazi ambayo yananizuia kuegemea chama kimoja ila ni kweli huyu mtoto katushangaza sana kutaja jina la Lowasa kuwa Rais" Alisema Boss Ngasa

Hata hivyo baba wa mtoto huyo aliongeza kusema kuwa yeye mwana habari ambae hana chama kila chama ni chake CHADEMA, CCM na vyama vingine vyote vina muhusu hivyo suala la mwanae anaomba lisichukue sura mpya na kumfanya aonekane yeye yupo CHADEMA hayo ni mtoto tu kama Mungu amemonesha hivyo kama Lowasa ni Rais basi ngoja tuone itakavyokuwa.

Credit; Maskanibongotz


Monday, October 12, 2015

WAKATI KAMPENI ZIKIENDELEA MKOANI TABORA DK KAMDEGE ACHAFUA HALI YA HEWA MAELFU YA WANANCHI WAFURIKA NYUMBANI KWAKE KUPATA TIBA ZA ASILI, ANGALIA TUKIO HILI..!

DK KAMDEGE AKIWA KAZINI NA ZANA ZAKE AMBAPO BAADA YA KUWA NJE YA NCHI KWA KIPINDI KIREFU SASA AMEREJEA NCHINI TANZANIA NA HALI IMEKUWA TETE MKOANI TABORA KUTOKANA NA WAGONJWA WENGI WA UKIMWI NA MARADHI YALIYOSHINDIKANA NA WALE WANAOTAKA BARAKA ZA MAFANIKIO KWA KUTENGENEZWA NA MITI SHAMBA.
MITI SHAMBA AMBAZO AMEKUWA AKITUMIA DOKTA KAMDEGE KUFANIKISHA WATU MAMBO YAO

 MITI SHAMBA AMBAZO AMEKUWA AKITUMIA DOKTA KAMDEGE KUFANIKISHA WATU MAMBO YAO
 MADAKTARI TOKA NCHINI JAPAN WAKITHIBITSHA KWENYE MITAMBO DAWA ZA MITI SHAMBA  ZA DR KAMDEGE ZINAZTIBU MARADHI MBALIMBALI IKIWEMO UKIMWI.
 MWANAMUZIKI DIAMOND AKIWA NA MAADAM WEMA NA MENEJA WAKE MARTIN KADINDA, AMBAPO MASTAA MBALIMBALI WAMEKUWA WAKIMTUMIA DR KAMDEGE KUWEKA SAWA MAMBO YAO
Na Mwandishi Wetu
Mganga maarufu nchini Tanzania aliyeiletea sifa kem kem nchi kutokana na kazi yake kutambulika Kimataifa Dk Kamdege ambae ni mwenyeji wa Mkoa wa Tabora amezusha balaa upya mkoani humo baada ya maelfu ya watu kumiminika nyumbani kwake kwa ajiri ya kupata tiba za asili.
Licha ya kampeni kuendelea huku zikiwa zimebaki wiki mbili ili taifa hili limpate Rais mpya watu wengi wenye shida wamekuwa wafika kwa mganga huyo kwa ajiri ya kuweka sawa mambo yao ili maisha yaende sawa.
Akiongea na mtandao huu Dk Kamdege kupitia simu namba 0763-146231 au 0788-44490 alisema " Ndugu yangu ujue nilikuwa kimya muda mrefu sikuwepo Tanzania nilikuwa nchini Kongo na Libya ambako nilienda kikazi hivyo toka nimerudi wiki iliyopita hali imekuwa mbaya kama unavyoelewa mimi nawasaidia sana ndugu zangu watanzania" Alisema
Aidha Mganga huyo aliongeza kusema kuwa anatibu magonjwa yote yaliyoshindikana kama vile Ukimwi, miguu na mikono kufa ganzi, waliokuwa hawana uwezo wa kupata mtoto, kukuza biashara kwa kuing'arisha kwa miti shamba na sio uchawi, Kupandishwa vyeo kwani wapo wasomi wengi wenye elimu kubwa lakini hawapandishwi vyeo hivyo yeye kazi yake kukupatia dawa za miti shamba tu sio tunguri au uchawi ukamloge mtu hapana miti shamba yenye bahati ya mfanikio anayo kwake hivyo mtu ukiwa mahara popote Tanzania au nje ya nchi basi wasiliana nae haraka kupitia simu zake hapo juu.