Na Hamida Mlima
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Timbulo Ally ameibuka na kusema kuwa amekuwa hana bahati na mademu na mademu awapata na ndiyo maana amekuwa akiimba nyimbo zenye hisia kali lakini zinakuwa zinamguza yeye kwa mambo yanayomtokea.
Aidha Timbulo ambae kwa mara ya mwisho alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Jack wa Chuz ambae kwa sasa ni mke wa mtu amesema " Yani sijui labda Jack aliniloga ili nisiwe nadumu na wanawake kwani kila nimpatae anakula bata kwangu kitambo kidogo huyo anasepa" Alisema Timbulo
CREDIT: MASKANI BONGO
No comments:
Post a Comment