Na Laurant Samatta
Msanii nyota wa toka kiwanda cha filamu za kitanzania Rosse Ndauka amefunguka kuwa hana mahusiano kabisa na kundi lenye sifa za ajabu la Bongo Movie hivyo watanzania watambu hilo.
Akipiga stori na Gazeti Pendwa linaloendelea kukimbiza kwa sasa la Maskani Bongo alisema" Jamani mimi sijawahi kujiunga na kundi la Bongo Movie na wala sijui chochote kuhusiana na kundi hilo mimi ni mwanachama wa Taff ambayo inatambulika kisheria na nchi lakini si hao mafuska bongo movie"Alisema
CREDIT: MASKANI BONGO
No comments:
Post a Comment