TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, April 28, 2014

MSANII JACKLINE WOLPER AMPIKU MASONGANGE KWA MDOSI WA KIHINDI NI YULE ALIYETOA MIL: 40 KWA AJILI YA KUMCHUMBIA MASOGANGE, PICHA ZAO ZAZUSHA MJADALA MKUBWA..!

 Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange
  Agness  Masogange ambae aliwahi kutolewa barua ya uchumba na Muhindi huyo mapema mwaka huu, hata hivyo haikufahamika mambo hayo yaliishia wapi.

 Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange hapa nyota huyo akionekana akiwa amelewa uso unamajibu kwani hilo sio pozi la kawaida la mdomo kuubetua kiasi hicho.

Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Xdeejayz imenasa picha za msanii nyota wa filamu za Kibongo Jackline Wolper akiwa na mfanyabishara mmoja wa kihindi mwenye pesa ndefu aliyefahamika kwa jina la Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange.
Picha hizo zinazowaonesha wawili hao wakiwa kwenye moja ya viunga vya Club ya usiku iliyopo Oysterbay/ Masaki ambapo hata hivyo uhalisia wa picha hizo unamuonesha Wolper akiwa bwii kiasi cha kuubetua mdomo wake ambapo sio kawaida kwa mtu mwenye ufahamu na staa kama yeye kupiga picha zenye pozi baya kama hizi.
Prence Kass ambae aliwahi kumchumbia Agness Masogange hadi kwa mjombaake na msichana huyo anawafunika mastaa wote bongo kwa makalip yake tata na kila kitu kilikuwa kinaenda swa kuhusu suala la kumuoa kwani Prence alishamtengea zaidi ya milioni 40 ili kumuachisha na mambo ya sanaa ili amfungulie maduka.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment