TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, April 28, 2014

KAMPUNI YA FORJOYS ART PRODUCTION YA SOUTH AFRICA YAMUITA DK KAMDEGE NCHINI HUMO, WAZUNGU WAMSUBIRI KWA HAMU KUBWA..!

Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mganga maarufu wa viongozi na mastaa nchini Dokta Kamdege ameitwa nchini Afrika Kusini na kampuni ya Forjoys Art Production kwa lengo la kuwasaidia watu wa huko.
Akiongea na mtandao huu Dokta huyo alisema kuwa baada ya kutoka Burundi alikokuwa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa huko na  kuwatatulia matatizo yao sasa amerejea Tanzania lakini hatokuwa na muda mrefu ataondoka kuelekea kule.
Dokata Kamdege amekuwa tegemea kubwa sana kwa watanzania mbalimbali Duniani kwa kuwafanikishia mambo yao kwa kuwaondolea nuksi, kuwang'alisha mambo yao na kuwa na mafanikio makubwa  huku amekuwa msaada kwa viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na mastaa wa muziki na filamu.
Mganga huyo anatibu kutumia miti shamba tu wala si vinginevyo kama wafanyavyo wataalam wengine na ataibu ganzi ya miguuni na mikononi anaweka sawa mambo ya kupandishwa vyeo kazini na kuzuia wabaya wasikukaribie na kukuza biashara yako kwa kupata pesa nyingi.
Hata hivyo Dokata huyo amesema kuwa kipindi bado yupo hapa nchini watanzania waendelee kumtumikia ili awasaidie  matatizo yao na namba yake inapatikana hewani masaa 24 ambayo ni 0788-844490.
Hata hivyo nae mlatibu wa safari hiyo nchini Afrika Kusini mtangazaji wa radio Sauti ya Afrika Bw Fortunatus Kasomfi amesema watanzania waishio nchini huwa wanaweza kutumia nafasi hiyo kwa kuweka sawa mambo yo na maganga huyo atapatikana kwenye simu namba+27786580747 na kuanzia tarehe 15 MAY ndipo mganga huyo atakuwepo nchini humo.

No comments:

Post a Comment