TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, April 28, 2014

MAKOMNDOO WA TANZANIA WAMTIA HOFU RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME MARAIS WENGINE NAO WAONDOKA NA YAO MOYONI WANANCHI WAPONGEZA UIMARA WA JWTZ..!


Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono. 
 Kikosi cha Makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa sherehe za miaka 50 ya Muungano.
Kikosi cha Makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano.
Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu.
 Marais Yoel Museven na Paul Kagame
Rais wa Tanzania Mh Jakayo Mrisho Kikwete akisalimiana Rais wa Rwanda Paul Kagame
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment