TANGAZO MAALUM
TANGAZA NA SISI
Monday, April 7, 2014
MH: SHABIBY AIPA TANO RADIO MPYA 93.7 FM, ASEMA KUPITIA RADIO HIYO VIJANA WENGI WATAJIAJIRI KUPITIA MUZIKI KUTOA UDHAMINI MNONO KWA AJILI KUIWEZESHA RADIO HIYO ANGALIA HAPA ALICHOKISEMA..!
Waheshimiwa Januari Makamba na Hemed Shabiby wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Na Livingstone Mkoi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Radio mpya inayoptaika kwenye masafa ya 93.7 FM ya Jijini Dar imeenda kushika kasi baada ya baadhi ya waheshimiwa vijana wapenda burudani kuizungumzia kwa uchache.
Wikiendi iliyopita Mkoani Dodoma kulikuwa na party kubwa ya kuyatambulisha mabasi mapya ya Mh Shabiby kwenye ukumbi wa RoyAL Village huku msanii Recho akitoa burudani ya kufa mtu.
Akiongea na mwandishi wa blog hii Shabiby alisema" Unajua sehemu kubwa ya watu wa taifa hili ni sisi vijana hivyo ni vyema kupongezana pale tunapoleta maendelea kwenye nchi na kuongeza uchumi wa nchi hivvyo nimeisikia radio hiyo mpya kwa kweli imekaa viuzruri kwani inasikika vizuri hakika hii ni nafasi nzuri vijana wote wenye vipaji kufanya kazi sasa" Alisema Mh huyo ambae ni anakubalika sana mikoa yote ya kanda ya kati.
Mh huyo aliongeza kusema kuwa anwapongeza wamiliki wa radio hiyo na anaamini taifa sasa litasonga mbele kwani pia kila mwanachi ana haki ya kupata habari na burudani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment