Leo ni siku muhimu ya kumuenzi Tha late Kanumba wapo wasanii na watu maarufu walioonyesha hisia zao katika siku hii ya kumuenzi kanumba kutokana na mapinduzi makubwa na jitihada zake alizozionyesha katika sanaa ya uigizaji. kwa maneno machache Lulu amemuezi hivi!!
Nukuu "Bado siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba...!! ila naamini bado tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigia, inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea,,.. u still liv in me daddy and your dearly missed .... R.I.P daddy angu." alimazliza kwa kusema hivo.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
No comments:
Post a Comment