TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, April 23, 2014

LEO NDIYO LEO USIKU WA BUNYEROBUNYERO NDANI YA CLUB MAISHA NI MPAMBANO MKALI KIBAO WAAHIDI KUFIA STEJINI ANGALIA HAPA BALAA!


 MOJA YA WAKINA DADA WANAOTARAJIA KUTIKISA LEO NDANI YA CLUB MAISHA DAR KWENYE USIKU WA BUNYEROBUNYERO.
  LEO PATAKUWA HAPATOSHI WAHI KUFIKA PALE KUSHUHUDIA NANI MKALI
  BALAA TUPU HIVI NDIVYO WASHINDANI WANAVYOTARAJIA KUWASHA MOTO CLUB MAISHA DAR JUMATANO YA LEO.
KAZI IPO LEO JUMTANO YA LEO.
  HAPA KAZI TU MANENO NYUMBANI KWENU MMOJA WA WASHIRIKI HAO LEO KWENYE USIKU WA BUNYEROBUNYERO

 Na Livingstone Mkoi
 Usiku wa leo huenda ukavunja rekodi kati ya Jumatano zote zilizopita kufuatia wakina dada mahiri kwenye ukataji nyonga maarufu kama Kibao kata watkapokutana na wale wenzao toka Mombasa na Tanga kwenye usiku wa Bunyerobunyero ndani ya Club Maisha Dar.
Kwa mujibu wa meneja wa burudani ndani ya Club hiyo namba moja Bongo Hemed Kavu alisema" Unajuwa watu wanapenda burudani za ubunifu kama hizi hivyo sisi tumeamua kuwapatia burudani leo nawaomba wapenzi wa burudani kufika kwa wingi ili kushuhudia mtanange huu ambao mshindi atapata nafasi ya kula mkata wa kuzunguka Club Miasha zote Tanzania kwa mkwanja mrefu" Alisema Hk.

No comments:

Post a Comment