TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, April 29, 2014

SHILOLE ASEMA ALIINGIA CHOO CHA KIUME KWA MZUNGU WAKE SHOGA, ASEMA ALIJUA KAPATA BONGE LA BWANA KUMBE MMH ASIMULIA KITANDANI ILIVYOKUWA MMH AIBU TUPU..!










Na Mwandishi wa Xdeejayz Tanzania
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu nchini Zuwena maarufu kama Shilole ametoboa siri ya moyoni mwake kwa kusema kuwa kweli aliingia choo cha kiume kwa mzungu wake ambae ni bwabwa na anahemewa kisogoni.
Akizingumza na mtandao mmoja Jijini Dar Shilole alisema" Jamani msema ukweli mpenzi wa Mungu mwenzeni niliingia choo cha kiume kwa yule mzungu nilijua nimepa bonge la bwana kumbe mmh nae analiwa" Alisema msanii huyo kwa mbwembwe.
Aidha katika hali nyingine Shilole aliongeza kusema kuwa kabla hata kuingia nae chumbani alianza kushtushwa na mikogo yake ya kushtuka shtuka kama wafanyavyo wanawake pindi wagusapwa seheme za kutekenyeka hapo ndipo alipogubdua shughuri hamna.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment