an
Video
ya wimbo wa Shakira ‘Cant Remember to Forget You’ aliyompa shavu
mwimbaji mwenzake wa Caribbean, Rihanna imekosolewa vikali na mwanasiasa
mmoja nchini Colombia anayefahamika kwa jina la Marco Fidel Ramirez,
akidai kuwa kinyume cha maadili na hivyo kuwaharibu watoto wadogo.

Marco
Fidel, ameiomba serikali ya Colombia kuipiga marufuku video hiyo ama
vipande vya video hiyo ambavyo amedai kuwa vinasapoti usagaji, uvutaji
sigara na mauaji.
“Our
Shakira with her erotic video is promoting tobacco usage and has become
the wost example for our youth.” Alitweet mwanasiasa huyo kutoka
Bogota, Colombia.
“Shakira’s
new video is a shameless case for lesb**nism and immorality. It is a
danger to children. It sends a provocative message to weak people who
c
be polluted and inducet to practice lesbian**m.” Aliongeza katika
tweet nyingine."MAELFU YA WAKAZI WA JIJI LA DA KUSHEHEREKEA VALENTINE DAY CLUB MAISHA DAR, XTREME DEEJAYZ KUWAPATIA ZAWADI MASHABIKI WAO"
No comments:
Post a Comment