TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, February 11, 2014

WAREMBO WAZURI ZAIDI YA 800 KUONESHA UPENDO WAO NDANI YA CLUB MAISHA DAR IJUMAA KWENYE PARTY YA VALENTINE DAY, ZAWADI KIBAO KWA WATAKAOKUJA WAMEPENDEZA HUKU WAKIWA KWENYE NYEKUNDU..!





 Moja ya Zawadi zitakapozotolewa Jumamosi hii kwa wapendao ndani ya Club Miasha Dar zaidi ya warembo 800 wamealikwa huku Xdeejayz Drummer wakifanya yao live.
 Moja ya Zawadi zitakapozotolewa Jumamosi hii kwa wapendao ndani ya Club Miasha Dar zaidi ya warembo 800 wamealikwa huku Xdeejayz Drummer wakifanya yao live.




Baadhi warembo wanaotarajia kupendezesha party hiyo.
Michana wa Kabila la Kigogo toka Mkoani Dodoma nae atakuwepo ndani ya nyumba kufanya balaa.




Kwenye screen kubwa ukutani kutaoneshwa picha za upendo kama hivi. Hii sio ya kukosa kabisa ukithubutu haki ya nani utajutaaaa..!
Na Livingstone Mkoi
Huenda hii ikawa mara ya kwanza kufanyika kitu cha namna hii ndani ya Club Maisha kwenye msimu huu wa Wapendao maarufu kwa lugha ya kigeni Valentine Day kufuatia Club namba moja Afrika Mashariki na kati ya Maisha ya Jiji Dar kuandaa zawadi kibao zinazofikia thamani ya shilingi milioni kumi na tano.
Kwa mujibu wa meneja burudani kwenye kiota hicho Gila alieleza blog kuwa maandalizi yote ya burudani hiyo yamekamilika na warembo hao wameanza kambi ya kujifua kwa ajili ya kutoa burudani siku hiyo na warembo hao wanaofikia 800 watafanya balaa siku hiyo" Alisema meneja huyo toka kundi la Yakuz Mob
Aidha cha kufurahisha kwenye party hiyo ni namna kundi la Xdeejayz litakavyowachanya mashabiki ambapo Zungu Mnyama, DJV Majey na Hyerman Hk wataoneshana nani mbabe.
Hata hivyo Gila alimaliza kusema kuwa siku ya Ijumaa Dar nzima itazizima kwa burudani hiyo na zawadi za watakaokuja wamependeza yani bibi na bwana zimeshakuwa tayari hivyo kazi imebaki kwa mashabiki wenyewe tu kufika ukumbini mapema ili kushuhudia balaa hilo.
'"HISTORIA YA BURUDANI KUJIRUDIA TENA MKOANI DODOMA WIKI HII, IJUMAA  NI CLUB MAISHA DAR  TAREHE 14 SIKU YA VALENTINE DAY NA JUMAMOSI NI CLUB MAISHA DODOMA HII SIYO YA KUKOSA" "

No comments:

Post a Comment