Na Shumba Msitu
WAKATI maelfu ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam
wakijitokeza kwa wingi katika ufukwe maarufu wa Coco kwa ajili ya kujiliwaza,
imegundulika kuwa vibanda vinavyojengwa kwa ajili ya kuhifadhi nguo za
wanaoingia majini kuogelea, hutumika pia kwa kufanyia ngono kwa malipo.
HABARI ZAIDI NDANI YA MASKANI BONGO MTAANI
No comments:
Post a Comment