TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Wednesday, January 1, 2014

WEMA SEPETU GHALI ZAIDI NDANI YA BONGO MOVIE,RAY, JB, WOLPER NA IRENE UWOYA MAJANGA MATUPU..!!



Na Shumba Msitu
WAKATI leo ni siku ya kwanza ya mwaka 2014, habari zimevuja kuwa wasanii nyota wa filamu nchini wametoa viwango vipya vya bei ya kushirikishwa katika movie huku staa Wema Sepetu akidaiwa kuwa ndiye ghali zaidi kuliko wengine wote kwa sasa.

Baadhi ya wasanii hao ambao hawakutaka kutajwa majina yao gazetini, waliliambia Maskani Bongo kuwa mwaka mpya na mambo mapya na kwamba wapo baadhi ambao hawatashiriki kabisa filamu za watu wengine kutokana na kufungua kampuni zao na kujiendesha wenyewe. HABARI ZAIDI DAKA KOPI YA GAZETI LAKO LA MASKANI LEO MTAANI..!

No comments:

Post a Comment