JESHI la Polisi mkoani Tanga, limefanikiwa kukamata
nakala 400 feki za filamu ya Ngema, mali ya msanii Manaiki Sanga iliyoingia
mtaani wiki iliyopita.
Habari za uhakika zilizotua mezani kwa Maskani Bongo
zilisema kuwa shehena ya CD hizo zilikamatwa na askari wa kituo cha Mombo na
baadaye mtuhumiwa huyo ambaye hakufahamika jina lake, alipelekwa kituo kikuu
cha Polisi Korogwe kwa ajili ya kufanyiwa utaratibu wa kurejeshwa Dar
kukabiliana na tuhuma dhidi yake.
"HABARI ZAIDI GAZETI LA MASKANI LINAKUJA LEO MTAANI DAKA KOPI YAKO"
No comments:
Post a Comment