TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, December 2, 2013

MAKALIO YA AGNESS MASOGANGE YAWACHANGANYA WAZUNGU WA SOUTH AFRIKA, AWAPIGA BAO MASTAA WOTE BONGO KWA KUWA NA WOWO BORA, KUIKIMBIA BONGO HIVI KARIBUNI, XDEEJAYZ INAKUPA LIVE!

 Agness Masogange akiwa kwenye moja ya picha zake za utupu zilizompa umaarufu mkubwa. xdeejayz live
 Agness kama anavyoonekana ambapo imeelezwa hadi sasa hakuna staa yeyote anaemfikia kwa kuwa na makalio yaliyokaa vizuri.


Mkurugenzi wa kampuni ya FORJOYS ART PRODUSTION ya Afrika Kusini aitwae Fortuntus Kasomfi ambae pia ni mtangazani wa Radio ya Kiswahili nchini humo.
Na Sakina Shabani
Jina la Agness Masogange limeendelea kuwa na nyota kubwa nchini na nje ya nchi licha ya kwamba hakuna jambo kubwa sana la maana alilolifanya kama ilivyo kwa wasanii wengine sasa hivi amekula shavu tena nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya kazi na kampuni ya Mtanzania aishie nchini humo ambae pia ni mtangazaji wa radio Afrika Swahili iliyopo nchini humo.
XDEEJAYZ inakupa mchongo ulivyo ambapo baada ya tuhuma za madawa ya kulevya pamoja na picha nyingi za uchi Agness amepata tenda ya kufanya kazi pamoja kwenye kampuni ya Forjoys Art Prodution Inc yenye mako yake makuu Jobeg.
Hata hivyo hakuwa rahisi hadi kumteua msanii huyo ambapo vigezo vingi vilitumika cha kwanza alionekana msichana pekee mwenye mvuto kuliko wasanii wote bongo huku makalio yake yakipigilia msumari kwani ilionekana kuwafunika wasichana wote maarufu bongo. 
Aidha katika hatua nyingine kampuni hiyo ambayo kwa asilimia kubwa inasimamiwa na wazungu ambao walichanganyiwa na makalio yake ambayo hakuna staa yeyote mwenye kumfikia.
Kampuni hiyo imeahidi kumsimamia Agness katika kazi zake zote zile za filamu, matangazo nk.
" GAZETI LA MASKANI BONGO LITAKUWA MTAANI TAREHE 11 MWEZI HUU USIKOSE NAKALA YAKO BANAAA"

No comments:

Post a Comment