TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, December 2, 2013

TRAFIC MPENDA RUSHWA NA KULEWA KIPINDI CHA KAZI MABOS ZAKE WAOMBWA KUMTIMUA KAZI!

Afande ambae hakufahamika jina lake ambae alinaswa na mpiga picha akiwa analewa muda wa kazi asubuhi baada ya kuchukua rushwa kwenye magari, ambapo wananchi wengi wameomba Kamanda Kova kumshughulikia haraka ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizi kwani ndio wanaozolotesha uchumi wa nchi kwa kutegea kazi.

No comments:

Post a Comment