TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, October 10, 2013

USHAHIDI MEZANI: HI NDIYO PICHA HALISI YA WEMA NA DIAMOND WALIPOKUTANA CHINA, MASHABIKI WAFURAHIA KURUDIANA KWAO, BONGO MOVIE KUWAPONGEZA IJUMAA HII NDANI YA CLUB MAISHA, PENNY MAUMIVU MAKALI!


  Na Sakina Shabani DSM
Mengi yalisemwa ila sasa ushahidi mezani hivi ndivyo Diamond na Wema waliokutana nchini China na kula bata pamoja kwa zaidi ya wiki mbili.
Habari za uhakika toka kwa chanzo cheto toka nchini chini kilichonasa picha hizo kilisema kuwa" Ni kweli Wema na Diamond walikuwa pamoja huku na walikuwa wanaishi kama mume na mke hilo nina uhakika nalo na hata mkitaka picha za hotel  walimokuwepo nitawatumia" Alisema mtanzania mmoja ambae ni mfanyabishara wa mwenye ukaribu na blog
 hii

Hata hivyo madai hayo ya picha hiyo yamepingwa vikali na Diamond na kusinginzia kuwa picha hiyo eti ipo kwenye filamu yake na Wema hali iyokataiwa na wasomaji kwani mwanamuziki huyo alipokuwa anaanza mahusiano na Penny na picha zilipoanza kuvuja akasingizia hivyo hivyo kuwa ilikuwa kwenye filamu mara kwenye Inteview.

Aidha katika hali nyingine Ijumaa wiki hii ndani ya Club Maisha kutawaka moto kwenye uzinduzi wa Live Dj with da Drum MUSIC ambapo mastaa wote bongo watakuwepo akiwemo Wema na Diamond pamoja na team nzima ya Bongo movie akiwemo DVJ PENNY mwenyewe hali ambayo itatoa majibu ya tukio hilo kwani Diamond kuwa upande gani. 

No comments:

Post a Comment