TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, October 31, 2013

MENEJA WA MSANII SNURA AKOSWAKOSWA NA RISASI KISA DEMU

 

XTREM DJ WAWAWEKA ROHO JUU WAKAZI WA DODOMA NA VITONGOJI VYAKE KILA KONA YA MJI STORI NI LIVE DJ DRUMMER ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI HII NDANI YA CLUB MAISHA, WAHESHIMWA WABUNGE WASITISHA MAPUNZIKO KUSUBIRI XTREME KUKAMILISHA BURUDANI HIYO!
 hapa akiwa anamvia mtoto getini kwa mzee jengua wakatia alishapigwa marufuku kusogea katika nyumba hiyoooo
 akichungulia bila mafanikio na simu haipokelewi
 ngoja nitume msg tuone itakuwaje
 Mara mtoto huyu kaja kwa mnyamwenzi hk, huku akijidogodesha
 full malavidavi
 Mz jengua bastola mononi
 kaanza na mlinzi baada ya kumkosa mtuhumiwa wake



 hapa rose ndauka akijitaarisha kutengeneza mazingira ya kuwa na mnyama mkali hk
 director camera man CHIWA
 Baada yakukimbizwa na bastola na mzazi wake sasa na yeye anaamua kumtimua demu wake asije kumfanya akafa kisa mapenzi full kuwakimbiza.

 ukitaka kujua kilichokuwa kitaongelewa hapa usikose filamu hiiii
 rose ndauka unajua kwanini amekuwa chizi kwenye filamu hiii usikose ikitoka
hapo kama tukishooo love na mzeee jengua usikose hii kitu ikitoka hatari sana.

No comments:

Post a Comment