TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, October 31, 2013

KAMANDA KOVA AKUMBANA NA SHURBA NZITO , POLISI WAHAHA KUMNISURU BILA MAFANIKIO WANANCHI WAMUONEA HURUMA!

MJI MZIMA WA DODOMA WAZIZIMA KUSUBIRI TUKIO MOJA SHOW MOJA NDANI YA CLUB MAISHA DODOMA NI JUMAMOSI HII YA TEREHE 2/11/2013, WAREMBO ZAIDI YA ELF MBILI TOKA VYUO VYOTE VYA DODOMA,MOROGORO NA SINDIDA WAPANIA KUFUNIKANA!!!



Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua leo asubuhi Kamanda wa Polisi Kanda Maalum amekumbana msukosuko wa aina yake baada ya kukumbana na anza ya foleni kubwa kiasi cha kutamani kushuka ili atembee kwa miguu kuwahi kazini.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na paparazi wetu wa Xdeejayz na lilitokea maeneo ya Kinondoni Makaburini ambapo kamanda huyo alikuwa anatokea maeneo ya kwa Manyanya kuelekea mjini akiwa kwenye gari yake iliyokuwa na namba za usajili PT 1574 Landcruser.
Habari zaidi zilisema kamanda Kova licha ya dereva wake  kupenye penya pembezoni mwa barabara lakini alipofika kwenye ukuta wa makaburi alishindwa kabisa kupenya kuamia kuzima gari kabisa kutokana na foleni kutotembea kabisa.
Aidha Xdeejayz ilishuhudia trafic wakihangaika kumnasua katikati ya magari bosi wao huyo lakini bila mafanikio ambapo hadi Xdeejayz inaondoka eneo hilo ilimuacha kamanda huyo akiwa hana jinis huku trafic kadhaa wakiwa wamzunguka.
DODOMA KULIPUKA KWA BURUDANI JUMAMOSI HII NDANI YA CLUB MAISHA XTREEM DEEJAYZ KUFANYA KUFURU KUBWA!!!

No comments:

Post a Comment