TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, October 26, 2013

LEO NDIO LEO FIESTA LEADERS AFTER PARTY NDANI YA CLUB MAISHA WAHI UPATE NAFASI YA KUPIGA PICHA NA WASANII HAWA MAPEMAAAAAAAAAAAAA!!!

 Wanasanii nyota watakaotumbiza leo kwenye tamasha la Fiesta Allaine Laughton na David Adeleke "Davido" Wakiongea na waandishi wa habari jana ambapo wasanii hao leo baada ya kumaliza tamasha la Fiesta watakuwa na after party kubwa ndani ya Club Maisha na mashabiki watapata fursa ya kupiga nao picha bila bughuza yoyote!
 Na Sakina Shabani
Leo ndio leo lile tamasha kubwa la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Media litafanyika kwenye viwanja vya Leaders Club na kufuatiwa na After Part kubwa itakayofanyika Club Maisha huku mashabiki mbalimbali watapata nafasi ya kupiga picha na wasanii hao nyota barani afrika na dunia.

No comments:

Post a Comment