TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, July 15, 2013

NJOO UFUE NGUO ZAKO SUNSHINE DRY CLEANERS UPOKELEWE KWA TABASAMU KAMA HILI

 
 Wala sio mbali sana ni maeneo ya oysterbey tu pale utakutana na mtoto wa kike mwenye tabasam tamu na mwanya kwa mbali atakupokea kama mfalme.nguo zao wanafua na kupasi kwakutumia machine za kisasa kabisa na bei zao ni nzuri na zinazolingana na thaman ya nguo zako.ukifika new maisha club umeshafika katika DRY CLEANERS hiyo ipo nje ya jenge la NEW CLUB MAISHA DAR.unakaribishwa sana.
check picha zaidi.


 
 
Check mwanya huyo hapo bado hajaongea mtoto ana rafudhi tamuuu kutoka nyumba ya mlima Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment