Futari yetu bomba ya jana imepigwa na KHADIJA kutoka zanzibari je ya leo itapikwa na nani usikose kesho kujua futari leo itapikwa na nani?
Haya sasa mseto ndio huo hapo.kitu cha draft pale kati
Tambi nyeupeeeeeee hadi raha kuziangalia
kitu cha kitumbua na age chop pale kati
Kutana na mkate wa ufuta
Mishkaki iliochanganywa na viazi
it was so delicious, thanks to the mother of the house. Mwenyezi amzidishie Inshallah!
ReplyDelete