NB. Tumeshindwa kuziweka picha hizo zikiwaonyesha mwili mzima kutokana na sababu za kimaadili. |
Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na
mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi
mitandaoni tangu majuzi,. Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa
kitandani kwenye mahaba mazito. Hata hivyo picha hizo zinatia shaka kuwa
sio halisi ni za kutengenezwa ingawa hatuna uhakika kwa asilimia zote
kwasababu msichana anayedaiwa kuwa Shamsa Ford ana umbo tofauti na la
star huyo, Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo
anaonekana kuwa na umbo namba nane.
Jana baada ya kuona picha hizo ambazo zimeenezwa hasa kwenye pages za
kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa
Chadema.. Shamsa na kumueleza kila kitu na
kwa kujiamini Shamsa alisema sio zake hizo picha zimetengenezwa na pia
msichana anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura na akasema
anajiheshimu sana na ana familia yake asingeweza kufanya jambo kama
hilo, alipoulizwa je anafahamiana na Mh. Salvatory Machemli pia alikana
kujuana nae achilia mbali kuwahi kukutana nae "zimedaiwa kuwa ni mimi
but sio mimi, naomba uangalie hizo picha vizuri au kama upo WhatsApp
nikutumie halafu uone je ni mimi? kabla sijakujibu" Shamsa alifunguka
Star huyo anayefanya vizuri na filamu kibao aliendelea kwa kusema "si
umbo hata sura ni tofauti, sijawahi hata kumuona huyo mheshimiwa, nahisi
ni watu ambao wananichukia wanataka kunichafua, kiukweli nawaomba
mashabiki wangu kabla ya kuanza kunihukumu waziangalie kwanza hizo
pictures vizuri, mimi nina familia na najiheshimu"
Kwa upande mwingine baadhi ya wachangiaji mitandaoni wamedai kuwa
picture hizo ni za kutengenezwa kwasababu Mh.Machemli ana kitambi lakini
katika picha hizo hazimuonyeshi akiwa na kitambi, wengine wamesema kuwa
picha hizo zimechukuliwa katika mtandao mmoja wa ngono na kufanyiwa
photoshop lengo lake likiwa ni la kumchafua kisiasa mbunge huyo ambaye
anadaiwa kukumba na misukosuko ya mara kwa mara. Hata hivyo ukweli
wanaujua wenyewe.
huyo ndo alivyo mana mi ni mbunge wangu
ReplyDelete