Machangudoa wakiwa wameziba nyuso zao zilisipigwe picha na mwandishi wetu.
Mke wa mtu akiwa ameziba uso wake kwa mikono ili kukwepa kamara za Xdeejayz zisimmulike.
Mke wa mtu aliyesuka akiinamisha kichwa chini kukwepa kupigwa picha na kamera hatari za xdeejayz
Mke wa mtu akiwa amejifunika uso kwa Khanga ili asipigwe picha.
Na Livingstone Mkoi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushangaza mke wa
kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja
lilipo maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza.
Habari zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjuwa mwanamke
huyo maarufu kwa jina la Mama Amina amekuwa mke wa pili wa kigogo mmoja
anaefanya kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.
Aidha watu hao waliiambia xdeejayz maeneo ya Oysterbay
Polisi Jijini Dar kuwa mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali
unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote
wanaojiuza.
Hata hivyo chanzo hicho kilisema wakati Polisi wanakamata
kamata machangudoa hao ndipo walipomkamata na mwanamke huyo bila kujuwa kuwa ni
mko wa bosi mkubwa.
Aidha habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo
ambae ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach na Mama Aamina
amempangishia upande wa nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma
zote muhimu lakni kumbe kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.
Mwandishi
wetu jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la machangudoa
hao wakipelekwa Mahakama ya Jijini kwa gari ya Manispaa pamoja na gari ya polisi
akiwemo mwanamke huyo wa kigogo.
No comments:
Post a Comment