TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, January 8, 2013

DIGITAL YALETA NEEMA KWA WAONESHA VIDEO MTAANI,WAPIGA HELA NDEFU KWA UBUNIFU WAO!

Baadhi ya wananchi wasiokuwa na uwezo wa kumiliki ving'amuzi majumbani kwao wamepata nafuu ya maisha baada vijana waonesha video kubuni namna ya kuwasaidia kutoa huduma ya kuona kila kipindi unachokitaka kwa kulipia kadri ya uwezo wako.Uchunguzi wa kina uliofanywa na Xdeejayz  kushirikiana na wananchi wanaishi uswahilini umebaini mambo hayo kama yanavyoonekana kwenye Layout ukurasa wa mbele.Wananchi hao wameshukuru sana ubunifu huo na sasa watajuwa hata ulimwengu unaendaje kwa kuangalia taarifa ya habari kwa kulipia kiasi cha shilingi mia tatu nk.

No comments:

Post a Comment