TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Thursday, December 13, 2012

MAANDALIZI YA 40 YA SHARO MILIONEA JOHN MNYIKA AFUNGUA NJIA ATOA LAKI MOJA MCHANGO WAKE!

 Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupita CHADEMA John Mnyika.
Mbunge wa Ubumgo John Mnyika.
Na Livingstone Mkoi
Mbunge kipenzi cha watu katika Jimbo la Ubungo John Mnyika ametoa mchango wake wa shilingi laki moja kwa ajili ya maandalizi ya arobaini ya marehemu Sharo Milionea itakayofanyika hivi karubini nyumbani kwao Mkoani Tanga.

Habari za uhakika toka kwa wasanii wa Komedi ambao wamepanga kamati maalum ya kuchangisha mchango ili wafanikishe shughuri hiyo inayotarajia kuwa kubwa.

"Mheshimiwa  Mnyika ametoa laki moja kama sehemu ya mchango wake ambapo pia tunaendelea na zoezi la ukusanyaji michango ili tuweze kufanikisha zoezi hilo" Alisema mmoja wa wasanii wa Komedi Sheri Magali.
Arobaini hiyo inayotarajia kufanyika hivi karibuni Mkoani Tangu na tayari wasanii mbalimbali wameanza kujipanga kwa ajili ya kufanikisha 4

1 comment:

  1. hala hala kwenye 40,naomba wasanii wa bongo movie wasipewe nafasi ya kuona mahali vinywaji vilipo wasije kwakakausha tena kama walivyofanya wakati wa msiba.wajitegemee kula na kunywa kama watahudhuria.wametuonyesha hati za gharama ya magari na mali walizo nazo na wakasanya vinywaji bila aibu

    ReplyDelete