TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, October 30, 2012

UKISTAAJABU YA MUSSA UTAYAONA YA FILAUNI! MBWA WA AJABU AZALIWA, ANA MIGUU ISHIRINI HARAFU ANATOA SAUTI KAMA YA BINADAMU!

 *Watumishi wa Mungu wasema huu sasa ni mwisho wa Dunia,Binadamu watakiwa kuwa katika maombi muda wote,Ili kujinusuru na moto!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua watu wakazi wa mji wa Faridabad Mashariki mwa India wameshtusha na tukio la kihistori la mbwa wa ajabu kuzaliwa akiwa na miguu ishirini huku akitoa sauti kama binadamu pindi anapotaka mahitaji
.
Habari juu ya tukio hilo zilisambazwa kwenye mtandao mmoja wa jamii nchini humo huku kila mtu akishindwa kuamini tukio hilo.
Mmiliki wa Mbwa huyo mwenye miezi sita tangu azaliwe aliyejitambulisha kwa jina moja la Charkhi alisema kuwa mama wa mtoto huyo wa mbwa ana miguu minne kama kawaida lakini cha kungaza mtoto huyo alipozaliwa alikuwa na uzani wa kilo kumi na tano huku akiwa na urefu wa futi tatu na nusu.
Aidha bwana Charkhi aliongeza kusema kuwa baada ya kuzaliwa mtoto huyo wa mbwa aliogopa sana na akashauriana na mkewe wakakitupe kitoto hicho,Lakini baadae walikubari kisitupwe tu ndipo walioiishi nacho hadi leo.
Katika hatua nyingine mbwa huyo ambae kwa sasa anakaribia futi kumi huku akiwa na uzito wa kilo mia hamsini amekuwa akitoa sauti kama za binadamu pindi anaposikia kiu au njaa, Hali inayowalazimu watumishi wa Mungu kuwasihi binadamu kukaa katika maombi muda wote kwa vile maajabu kama haya yanaashiria mwisho wa dunia.


No comments:

Post a Comment