TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Tuesday, October 30, 2012

BINADAMU ANAEONGOZA KUJAMBA USHUZI WA MOTO DUNIANI!

Wanawake aliwahi kuwaoa walimkibia baada ya kuwaunguza vibaya,Yadaiwa hatishii kujamba akifanya hivyo ni balaa,Atengwa na ndugu,marafiki.Aishi baharini peke yake.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja nchini Ungereza aliyefahamikamika kwa jina la Girbeth Stig "27" amejikuta akiiishi peke yake katika bahari kufuatia kutengwa na ndugu pamoja na marafiki.
Habari za uhakika toka kwenye mtandao mmoj nchini humo zinasema kuwa kijana huyo toka anaetokea katika mji wa Pease Pottage uliyopo nje kidogo ya jiji la London amekuwa katika wakati mgumu kutokana na matukio ya kujamba moto hali inayopelekea kuogopwa kama ukoma.

Habari zaidi zilisema kuwa kijana huyo amekuwa na tatizo hilo tangu akiwa na umri wa miaka tano ambapo familia yake imekuwa ikijitahidi kufanya jitihada za kumpatia matibabu lakini cha kushangaza ni kwamba amekuwa hataki kutibiwa akidai anataka kuachwa hivyo hivyo ili aingine kwenye vitabu vya kumbukumbu.

Kijana huyo inadaiwa aliwahu kuoa wanawake kadhaa lakini baadae walimkimbia kufuatia wanawake hao kuunguzwa vibaya.Na mbaya zaidi mwanaume huyo kipindi akiwa amekasirika akijaribu kujamba tu basi moto mkubwa hutokea katika sehemu zake za haja kubwa hadi kuwauunguza wanawake hao.



k

No comments:

Post a Comment