TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Sunday, January 10, 2016

SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AMTIKISA RAIS MUSEVENI WA UGANDA, MAAJABU ALIYOYAFANYA HUKO YAMSHANGAZA, WANANCHI WA UGANDA WASHINDWA KUAMINI KAMA KIJANA HUYO NI BINADAMU WA KAWAIDA AU NI KITU GANI TOKA KWA MUNGU, PICHA ZA TUKIO HIZI HAOA..!


Rais Yoel Kaguta Museveni wa Uganda ambae baada ya kusikia na kuona maajabu yaliyofanywa nakijana Shekh Sharif Khamis wa Kitanzania huku maelfu ya watu wakikombolewa kutoka mikononi mwa shwetani na kumrudia Mungu, Rais huyo alimpongeza kijana huyu.
Shekh Sharif Khamis akiwa kwenye msikiti Mkuu nchini Uganda kwenye eneo la  Aruwa.
                      
 Shekh Sharif Khamis akiwa kwenye muhadhara ulioandaliwa mahususi kwa ajairi ya kuwaokoa watu waliokuwa wamekata tamaa huku wengine wakisilim na kuurea uislam

Shekh Sharif Khamis ambae kwa sasa muonekano wake upo hivi, ambapo kijana huyu mwenye historia ndefu katika historia ya mashekh sharif wa tanzania baada ya kuanza kuongea akiwa na mwaka mmoja toka amezaliwa hadi leo
               



Na Mwandishi wa maskanibongotz -Uganda
Kijana mwenye historia ndefu ya mashekh Sharif wa Tanzania ameendelea kuonesha maajabu yake kupitia Mungu aliyemfungulia kuwa wa namna hiyo , kijana huyo ni Shekh Sharif Khamis ambae alianza kumtumikia Mungu toka akiwa na mwaka mmoja hadi leo.
Kijana huyo ambae tangu umri huo akiwa na mwaka mmoja alipoanza kuonesha maajabu yake hadi leo amekuwa akiuzunguka ulimwengu na kutenda mambo makuu ya Mungu kiasi cha kuwashangaza watu wengi na kushindwa kuamini kama kijana huyo ni kweli binadamu wa kawaida au  nini.

Shekh Sharif Khamis kwa sasa yupo nchini Uganda baada ya kutoka Sudani na juzi alikuwa aliendelea na mihadhara yake nchini humo kwenye eneo la Aruwa ambapo watu zaidi ya elfu zaidi ya elfu ishirini toka sehemu totafuti walibadilisha maisha yao kwa kuokolewa na matatizo yao huku vituo vingi vya televisheni vikionesha matukio hayo huku yakishuhudia pia na rais wa Uganda Mh Joel Kaguta Museveni
Hata hivyo Shekh Sharif Khamis aliuambia mtandao huu wa maskanibongotz kuwa amekuwa akielendelea na kazi ya hiyo ya kumtngaza mungu na mtume licha ya kukutana na changamoto nyingi, lakini pia kubwa zaidi ni juu ya kuwepo kwa mashekh sharif fake wenye nia ya kuharibu sifa za ushekh sharif hilo limekuwa likimuumiza sana .
Aidhs Shekh sharif Khamis amesema hivi karibuni atarejea Tanzania ili aendelee kuwasaidia Watanzania wenzake kwa kuwafanyia dua ili waondokane na matatizo hivyo siku zikikaribia atawatangazia watanzania kwamba amerejea nchini na lakini hata hivyo kwa wale wote wanaohitaji msaada sehemu yoyote duniani wanaweza kumpata kwa namba hii ya simu +255 717688 792 namba hiyo ipo imeunganishwa mahala popote inapatikana.



Thursday, January 7, 2016

WANANCHI KINONDONI WAMLILIA DC MAKONDA, WATUMA UJUMBE MZITO KIWA RAIS JOHN POMBE MGUFULI NA HII NDIYO TAARIFA YAKE INASIKITISHA SANA..!



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli, wananchi wa Kinondoni wanamuomba asimuondoe Makonda kwenye Wilaya hiyo kwa vile bado wanahitaji msaada wake wa kutumbua majibu ya Ardhi kwenye Mansptaa ya Kinondoni.
DC Makonda akiwa kwenye majukumu yake



Hapa ni wananchi wa Nyakasangwe kata ya Wazo wakiwa na mabango ya kuwakataa maafisa Ardhi Kinondoni ambao wamekuwa tishio wa ufisadi wa ardhi kwa kushirikiana na matajiri wakubwa.

Na Mwandishi Wetu
Wilaya ya Kinondoni yenye wakazi wengi pengine kuliko Wilaya zote nchini Tanzania huku Wilaya hiyo ikiwa na changamoto rukuki za maendeleo, huku vijana wengi wakiwa hawana ajira, migogoro ya Ardhi nayo pia ikiwa tishio licha ya kwamba ni Wilaya ambayo ipo Jijini Dar mjini.
Kufuatia kuwepo kwa taarifa za ubadilishwaji wa wakuu wa Wilaya huku wengine ikidaiwa kupumnzishwa kabisa, hii inatokana  masimamo wa Mh Rais John Pombe Mgufuli kutaka kupata watendaji kazi wazuri na sio mizigo kama ilivyokuwa kwa Serikali iliyopita, hivyo wananchi hao wamemuomba Rais kwenye panga pangua hiyo awaachie Mh Paul Makonda kwani tayari ameshafanikiwa kuiweka sawa Wilaya ya Kinondoni.
Wakiongea na Maskanibongotv pamoja na mtandao wa kijamii wa maskanibongotz wananchi hao walisema “ Ndugu Mwandishi kweli tunamuomba Rais Wetu John Pombe Magufuli atuachie Mkuu wetu wa Wilaya Mheshiwa Makonda kiukweli tayari amekuwa tegemeo kwetu sisi wananchi wanyonge na hata vijana wetu wapo kwenye mipango mzuri ya ajira ambayo Makonda amekwishaipanga” Walisema watu hao.
Hata hivyo mmoja wa wananchi wa kata ya Wazo mtaa wa Nyakasangwe Manaiki Sanga ambae ni muhanga wa Mgogoro wa Ardhi alisema” Tuna imani na Mheshimwa Rais Magufuli ambae ni tofauti na viongozi waliopita tunaamini kwenye maamuzi yake atatumia busara kumuacha Makonda kwenye Wilayah ii kwa vile hadi sasa ameokoa maisha ya watu kwa kupambana na ufisadi wa ardhi  ambapo mwaka juzi ulipoteza maisha ya wananchi, lakini kwa sasa hali ya ulinzi na usalama umeimalika kutokana na hujudi zake” Alisema
DC MAKONDA ni mkuu wa Wilaya mtenda haki mtetezi wa wanyonge ambae matajiri wengi na mafisadi ndiyo adui zake kwa maana wanamchukia kwa msimamo wake kwenye kazi, pia wanasiasa wamekuwa na kinyongo nae kutokana na chuki zao binafsi, lakini kiukweli Makonda amekuwa mmoja wa wakuu wa wilaya wachache wanaofanyakazi zao bila uwoga na kujituma kiasi kwamba hata Wilaya nyingine zimekuwa zikimuhitaji ili akaweke mambo sawa.
Kwa kilio hichi cha wananchi tunaamini Mheshimiwa Rais wa John Pombe Magufuli atasikia na kumbakisha DC Makonda ili aendelee kuwatetea wanyonge na kupambana  na mafisadi.

Credit: Maskanibongotz
I

 


Thursday, December 31, 2015

MUNGU WA AJABU SANA: WAGONJWA MUHIMBILI WAACHA VITANDA VYAO NA KUKIMBILIA KWA MCHUNGAJI MZOLA MWENYE NGUVU ZA AJABU, WAGONJWA WA UKIMWI WAPONA NA KUSHINDWA KUAMINI KILICHOWATOKEA..!

Mmoja wa wagonjwa ambae ameacha kitanda na kwenda kwa Mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Lililopo Nyakasangwa kata ya Wazo kwa ajiri ya kupata huduma ya uponyaji
                      


Wagonjwa mbalimbali wamekuwa wakimiminika kwa mchungaji Mzola kwa ajiri ya kuukimbia umauti na hatimae wanapona
Mama akitoa ushuhuda jinsi mtoto wake alivyopona baada ya kukumbwa na ugonjwa wa ajabu kiasi cha kupelekea mwanae moyo kusimama kufanya kazi huku macho yote akiwa ameyageuza.

Mgonjwa wa Ukimwi mpya ambapo magonjwa kama ya aina hii yamekuwa kitu kidogo kwa mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana lililopo Nyakasangwe.
Mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Msigani maarufu kwa jina la  NGOMA YA YESU MSIGANI  
Na Mwandishi Wetu
Hakika Mungu hutumia watumishi wake kufanya maajabu, hivi ndivyo tunavyoweza kusema. Mchungaji wa Kanisa la Hosana Msigani, Mzola ameendelea kuushanga ulimwengu kutokana na nguvu ya ajabu aliyokuwa nayo ya kuponya watu wenye magonjwa sugu yakiwemo Ukimwi, Kansa nk.
Mchungaji huyo mwenye kanisa dogo tu lililopo Waza mtaa wa Nyakasangwe Msigani lakini amekuwa akifanya mambo ya kushangaza watu kutokana na nguvu ya upako aliyokuwa nayo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wagonjwa wengi kwa sasa toka Hospitali mbalimbali wenye magonjwa yaliyoshindikana  wameamua kuacha vitanda baada ya kukata tamaa ya matatizo yao na kukimbilia kwa amchungaji huyo tena wakiwa kwenye pikipiki kwa msaada lakini wakanyagapo kwenye ardhi ya kanisa hilo tu, basi hupata uponyaji wa papo kwa hapo.

Hata hivyo mchungaji huyo amewaomba watanzania popote walipo Duniani wasisubiri kifo kiwakute kwa matatizo yanayowasumbua na hata kwa magonjwa sugu kama Ukimwi, Kansa, kichaa, nk wawabebe watu wao na kumlekea ili awape dozi ya Yesu Kristo kwani lisilowezekana kwa binadamu linawezekana kwa Mungu.
Mchugaji aliongeza kusema" Wabebeni wagonjwa wenu na kuwaleta hapa kwenye dozi isiyokuwa na gharama Mungu hashindwi jambo" Alisema na kutoa namba yake ya simu 0713-161785 kwa watu wasioweza kufika kanisani kwake atawapatoa dozi hiyo kwa njia ya simu.

Monday, December 28, 2015

KATA YA WAZO YAKUMBWA, MAMBO ANAYOYAFANYA MCHUNGAJI HUYU YATISHIA AMANI, MWENYEWE AONGEA HAYA......!

Mtumishi wa Mungu Mch: Mzola wa Kanisa la Hosana Msigani Linalotambulika kama Ngome ya Yesu akiwa kweenye ibada

 Baadhi ya waumini wakiwa Kanisani hapo kwa ajiri ya kupokea uponyaji wa ajabu


 Ushuhuda: Mama akitoa ushuhuda jinsi mwanae alivyopata uponyaji baada ya kuugua ghafra kiasi cha kupoteza fahamu


Na Mwandishi Wetu
Mchungaji wa Kanisa la Hosana Msigani Linalotambulika kama Ngome ya Yesu Mzola amewashanga wengi kutokana na nguvu za uponyaji anazozifanya pamoja na kuwasambaratisha wachawi.
Mtandao huu wa maskanibongotz ulifika kwenye Kanisa hilo kujionea namna ya ibada zake zinavyofanyika baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa nguvu za ajabu za mchungaji huyo sio za kawaida kutokana na uponyaji wake anaoufanya wa papo kwa hapo.
Akiongea na mtandao huu mchungaji huyo alisema" Mtumishi haya unayoyaona hapa ni nguvu za mungu wa kweli na sio maigizo kwani Mungu wa hapa sio wa masihara wala utani hivyo ukija mgonjwa dozi utakayoipata hapa  basi unakuwa mzima milele iliamradi usitende dhambi tena" Alisema Mchungaji huyo na kutoa namba yake ya simu kwa mtu yeyote anaehitaji maombezi kwa njia ya simu 0713-161785 na watu watapokea mujiza hapo walipo.

Friday, December 18, 2015

KIMENUKA: MIPANGO MIJI, MAAFISA ARDHI KINONDONI NA MAFISADI WA ARDHI KATA YA WAZO SASA ROHO ZAO ZIPO MIKONONI MWA WAZIRI LUKUVI ZOEZI LA DC MAKONDA LAIBUA MADUDU MAKUBWA...!

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi ambe kwa sasa ameshikilia roho za maafisa Ardhi, Mipango Miji na mafisadi Ardhi kata ya Wazo kwenye mtaa wa Nyakasangwe na Nakalekwa ambao wameshasababisha roho za watu wengi kupotea kwa uzembe huku wakidaiwa kutumia nguvu ya pesa kuwashika watu wa Mipango Miji na Ardhi Manispaa Kinondoni.
 Wakazi wa Nyakasangwe kata ya Wazo hivi ndivyo walivyompokea DC MAKONDA kwa mabango ya kuwakataa Maafisa Ardhi na Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni DASA. kwa kukosa imani nao kwa madai ya kuwa wameshirikiana na mafisadi kuwaangamiza

  DC MAKONDA kama anavyoonekana amezungukwa na mabango ya kuwakataa watu wa mipango miji na Ardhi kwa kutuhumiwa kwa ufisadi.

 Na Mwandishi Wetu- Wazo
 Tangu kuteuliwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi, hali ya mafisadi wa ardhi nchini kote imekuwa mbaya kwani huenda muda wowote ni kikawaka kwa kuporwa ardhi hizo ambzo ni mashamba makubwa ambayo yalikuwa hayalipi kodi Serikalini hadi wananchi walipoyavamia na kujenga makazi.
Moja ya eneo linalotajwa sana kuwa kuna ufisadi mkubwa ni Wazo kwenye mitaa ya Nakasangwe na Nakalekwa ambapo tayari kulikuwa na jitihada za DC Makonda kutaka kumaliza mgogoro huo lakini nguvu yake ilikuwa ni ndogo kutokana na nguvu kubwa waliyokuwa nayo mafisadi hao ambao wanamtandao hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar.
Hata hivyo kwenye zoezi linaloendelea sasa la kuhakiki viwanja hivyo kumekuwa na udanganyifu mkubwa kwa mafisadi hao ambao awari walizungumza uwongo kwa kusema wanaukubwa flani wa eneo lakini kwenye vipimo wanakuta tofauti hali ambayo inadaiwa huenda ikawaletea matatizo mafisadi hao kutokana kuidanganya Serikali na Mahakama.
Kutiokana na hali hiyo watu wengi nchini wana imani na Mh Lukuvu kushugurikia ufisadi huu na wale wote waliohusika na mgogoro huo kama ni maafisa ardhi na watu mipango miji basi wachukulie hatua.
Credit: Maskanibongotz 

Thursday, December 17, 2015

MGANGA WA MASTAA NCHINI AWACHANGANYA WAARABU KWA NGUVU YA MITI SHAMBA ZAKE, WASHINDWA KUAMINI MAAJABU YAKE MAGONJWA, WATU WAZIDI KUMIMINIKA MKOANI TABORA..!

Dokta Kamdege mtaalamu wa miti shamba anaetambiliwa na chama cha waganga wa tiba za asili Tanzania ambae amekuwa msaada mkubwa kwa watu duniani kutokana na dawa zake kuponya watu live pamoja na kuwasaidia kwa kuwaondoa mikosi na nuks, kupandishwa vyeo, kusafishwa mikosi nk kwa wale wanaotaka kusafari nje ya nchi kwa ajiri ya kutafuta maisha.
Hizi ndio moja ya dawa za miti shamba sio uchawi anazotumia Dokta Kamdege kuwasaidia watu wengi toka sehemu mbalimbali Duniani
                         
JOPO LA MADAKTARI TOKA NCHINI OMAN WAKIWA PICHA YA PAMOJA. Na Mwandishi Wetu Yule Mtaalam wa Miti shamba Tanzania maarufu kama Dokta Kamdege ameendelea kuitanga nchi ya Tanzania kimataifa baada ya dawa zake kuwashangaza madakatari wa nchini Oman kwa kutibu magonjwa sugu. Akiongea na kwa njia simu namba +255 763-146231 toka mkoani Tabora ambako waarabu hao na watu mbalimbali Duniani wamekuwa wakimiminika kwenda kupata tiba zake za asiri ambazo zimeonekana kuwafanya maajabu hata kwa wazungu na waarabu. Dokta Kamdege ambae anatambulika na chma cha waganga wa tiba za asili Tanzania na ana leseni inayomtambulisha kufanya kazi hiyo ndiyo maana hata wazungu wamekuwa wakimuamini. Dokta Kamdege amekuwa pia akiwasaidia hata watanzania wengi kwa tiba zake viongozi mbalimbali, mastaa na wengineo wengi kwani tiba zake za kumuondoa mtu mikosi, kumfanya mtu apandishe cheo, kupata mtoto hata kama ulikuwa mgumba, kisukari, miguu au mikono kuwa na ganzi, kumpa mtu baraka ya safari au kuweka sawa mambo ya bishara kutokana na roho mbaya za bianadamu na mambo yote hayo hhutibu kutumia miti shamba si kitu kingine. Kamdege alitoa uwito kwa watanzania kuendelea kupata tiba zake kwa kipindi hhichi ambacho yupo Tanzania kwani hana muda mwingi taelekea nchini Uturuki alikoalikwa na Serikali ya huko na yeyote aliyetayari mahara popote duniani amcheki kupitia simu namba +255 763 146231, 788 844490 na atasaidiwa hapo alipo.
                              

Tuesday, December 15, 2015

MWANDISHI WA HABARI AOTA UWAZIRI KWA RAIS MAGUFULI, ASEMA ANAMUDU NAFASI YOYOTE KAMA IKITOKEA MHESHIMIWA RAIS AKIMKUMBUKA...!

 Mwandishi wa habari maarufu nchini Bossngasa akiwa maeneo ya viwanja vya bunge hivi karibuni kwenye michakato flani na waheshimiwa wabunge na mawaziri
 Boss ngasa kwenye muonekano.
Na Mwandishi wetu- Dodoma
Mwandishi wa habari maarufu nchini Bossngasa ameijitokeza na kuonesha hisia zake kwa mheshimiwa Rais kama atamkumbuka hata Uwaziri flani kwenye nafasi zilizobaki ambazo hadi sasa Mheshimiwa hajachagua.
Akiongea na maskanibongotz, Ngasa alisema " Naweza kusema kuwa mimi ni kijana msomi na ni hadhina ya taifa hili hivyo kwa uwezo wangu wa kudadavua mambo ya kijamii nadhani Mheshimiwa Rais anaweza kunikumbuka hata nafasi  moja tu ili niwaonesha watanzania kama mimi naweza" Alisema Ngassa
Aidha Ngasa ambae ni rafiki kipenzi na Mbunge na Naibu waziri Mh Antonie Mavunde  amesema anampongeza Mh Rais kwa kumchangua Mh Mavunde kuwa Naibu Waziri kwani hakufanya makosa Mavunde ni mpiganaji na msomi mwenzake mwenye kujitambua.