TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Saturday, March 30, 2013

HUYU NDO BINTI ALIYECHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA MPENZI WAKE BAADA YA KUBUSU KIFUA CHA DIAMOND

 


Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti Diamond  
Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti Diamond
Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake
Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake
Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani  Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake

RAIS KIKWETE ATEMBELEA ENEO AMBALO GHOROFA LIMEPOROMOKA

 




Mkuu wa mkoa Said Meck Sadick akiwa na Rais Kikwete na Kamanda wa polisi kanda maalum Dar es salaam Suleiman Kova

XTREME PICTURE OF THE DAY


DIAMOND BADO AENDELEZA KICHAPO KWA MABINTI JUKWAANI

 

 

Napenda kutanguliza Shukrani za Pekee kwa Mwenyezi Mungu....kwa 
kutuwezesha
Mimi na Crew Yangu Nzima ya WASAFI Kufika salama
 KAHAMA na kupokelewa
na Maelfu ya watanzania wenzangu wanaokubali Kazi zangu 
wakubwa kwa wadogo...!
Nawashukuru Pia kampuni Nzima Iliyoweza kufanikisha Tour yangu
 Hii ya kanda
ya Ziwa sehemu hii ya KAHAMA...... Usiku wa Jana
 Niliporomosha Show Matata
Ndani ya KAHAMA na watu wengi kufurika mpaka kufikia 
wengine kukosa Hewa
Ingawa ukumbi ulikuwa wa wazi......!! Shukrani za Pekee Nyingi
 ziwaende Mashabiki
zangu wote wa KAHAMA waliojitokeza kwa wingi Kushow Love 
kwa President wa
WASAFI......

Zifuatazo ni Picha za Show ya Jana KAHAMA...!!
WASAFIIIIIIIIIIII.......!!

Nikiwa na Dancers wangu From Left Rama Mpauka,Emma Platnum,Dumi Utamu
& I Myself The President.....
Rama Mpauka,Emma Platnum & Dumi Utamu...!!
Taratibu Nikikianzisha.......
Yanii.....Kama watoto wakinililia....??? wambie Kesho Nini....??!
Siwasiki KAHAMA MPOOOOO.....???!!




Amsha Amsha si ndo Ikanipa Mizuka Kucheza na Mashabiki....!

ALICHOKIANDIKA MUMEWE JACQUE PENTZEL GADNER DIBIBI KWENYE FACEBOOK KUHUSU KUWA NA MKE MWENGINE KABLA YA JACQUE!

 

 GADNER DIBIBI
  1. Kwa wale wote ambao wanasema mm ni mume wa mtu ...jamani cjawahi kuoa wala kumchumbia mtu,,,,,, ndoa yangu ya kwanza ni hii niliooa siku chache zilizopita na kauthar Dibibi(jacque pentzel) naomba nieleweke .maana maswali yamekuwa mengi na ambao mnaoniinbox msg zisizoeleweka pia muelewe kama mm ni mume wa mtu plz naomba tuheshimiane.

    Like ·  · 


Hapa gadner dibibi akifunga ndoa

SHINDA KING'AMUZI NA FLAT TV YENYE INCH 32

 

Pamoja na kikombe, wachezaji wa timu bingwa inayotwaa kombe la UEFA Champions League hupewa medali 40 za :
A. Shaba B. Dhahabu.

Friday, March 29, 2013

UOKOAJI UKIENDELEA KATIKA JENGO LILIDONDOKA ASUBUHI YA LEO





Gari lililokuwa karibu na jengo hilo likiwa limebonyezwa kama chapati likitolewa eneo la tukio kuweza kuwato majeruhi waliofunikwa na kifusi cha gorofa hilo.

Mtoto Maisamali Karim (6) ambaye ameokolewa kutoka katika madrasa ya Msikiti wa Khoja Shia Ithna Asheri Jamaat iliyoangukiwa na jengo hilo katika mtaa wa Indira Gandh


Ni moja ya Kifaa pekee kilichokuwepo eneo hilo Trekta, likifukua kifusi ili kuokoa watu wanaodaiwa kufukiwa na kifusi hicho.

Baadhi ya watu waliwahi kufika kujaribu kutoa msaada bila mafanikio hapa wakiwa wamekwama baada ya kukosa vifaa vya kutosha.

Waokoaji wakijitahidi kutumia mikono kuondoa kifusi hicho ili kuweza kuwaokoa watu waliofukiwa.

Trekta likiendelea kuondoa kifusi hicho.

wananchi wenye asili ya asia nao walikuwapo kutoa msaada hapa wakilielekeza Trekta kusogea mahala walipo wao wakihisi kuwa kuna mtu mahala hapo.
Waokoaji wakiwa hoi……

Juhudi zinaelekea kulala………
Moja kati ya magari yaliyokuwa eneo hilo likiwa limeangukiwa na mabaki ya jengo hilo.

kifaa kikiendelea kuondosha kifusi……../

Vijana wakishusha mitungi ya gesi ili kuwasaidia kukata nondo…. baada ya kuona vimekosekana vifaa vya haraka.


Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (CP), Suleima Kova kuhusu jengo la ghorofa 16 lililoanguka majira ya saa mbili asubuhi katika makutano ya mtaa wa Indira Ghandi na Barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi. Katika ajali hiyo watu wawili wamekufa papo hapo