Napenda kutanguliza Shukrani za Pekee kwa Mwenyezi Mungu....kwa kutuwezesha Mimi na Crew Yangu Nzima ya WASAFI Kufika salama KAHAMA na kupokelewa na Maelfu ya watanzania wenzangu wanaokubali Kazi zangu wakubwa kwa wadogo...! Nawashukuru Pia kampuni Nzima Iliyoweza kufanikisha Tour yangu Hii ya kanda ya Ziwa sehemu hii ya KAHAMA...... Usiku wa Jana Niliporomosha Show Matata Ndani ya KAHAMA na watu wengi kufurika mpaka kufikia wengine kukosa Hewa Ingawa ukumbi ulikuwa wa wazi......!! Shukrani za Pekee Nyingi ziwaende Mashabiki zangu wote wa KAHAMA waliojitokeza kwa wingi Kushow Love kwa President wa WASAFI......
Zifuatazo ni Picha za Show ya Jana KAHAMA...!! |
No comments:
Post a Comment