TANGAZO MAALUM

TANGAZO MAALUM
.

TANGAZA NA SISI

TANGAZA NA SISI KWA BEI NAFUU TUPIGIE KUPITIA 0713 57 57 18 AU TUMA BARUA PEPE DTV@EML.CO.TZ

Monday, November 16, 2015

SADIKITV YATEMBELEA KITUO CHA E-FM RADIO 93.7, MKURUGENZI HUYO APONGEZA KITUO HICHO BORA KWA SASA NCHINI TANZANIA..!


 Sadick Hamid mkurugenzi wa SADICKTV sehemu ya mapokezi kwenye kituo cha E-fm Radio

Sadick Hamid akiwa na mzee Kitime ndani ya studio za kisasa ndani ya E-fm Radio





 Sadick Hamid kushoto akisalimia na mwenyeji wake Livingstone Mkoi ambae ndiye mkuu wa kitengo cha habari ngumu za uchunguzi
 Ripota wa Sadicktv kwa Mkoa wa Dar es Salaam nae alifurahi kutembelea studio hizo





Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi, Mwandishi na mfanyabishara maarufu Mkoani Tanga ambae ni kija mdogo Sadick Hamid ambae ndiye mkurugenzi wa kituo cha “SADICKTV” siku ya jana amefanya ziara kwenye kituo bora cha matangazo ya E-FM Radio 93.7 na kupokelewe na mkuu wa kitengo cha habari za Uchunguzi ndani ya E-fm Radio Bw Livingstone Mkoi.
Mkurugenzi huyo akiambatana na maofisa wake walifika kwenye radio hiyo jana saa mbili usiku na kufanya mazungumzo mafupi na Bw Livingstone Mkoi ambapo Sadick alianza kuupongeza uongozi wa kituo hicho kwa kuwa na mitambo ya kisasa” Kaka kiukweli nimetembea kwenye vituo vingi sana hapa Afrika lakini kwa hii mitambo yenu nimeikuta South Afrika tu “ Alisema Mkurugenzi huyo
Aidha  mkurugenzi huyo ambae kwa utafiti usiokuwa rasmi umemthibitisha kuwa mfanyabishara mwenye umri  mdogo kuwa na  pesa ndefu Mkoa wa Tanga, alisema kufanya ziara hiyo ndani ya kituo hicho kimemfundisha mengi na kumpa wivu wa maendeleo zaidi ili kulipeleka taifa mbele kwa maendeleo ya haki na kweli.
Akiwa ndani ya kituo hicho alikutana na mwanamuziki Mkongwe Mzee Kitime .




No comments:

Post a Comment